Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,920
Sumbawanga kwetu sijawahi shuhudia haya mambo.....!!Afu watu kila siku kubwabwaja tu ooh sumbawanga kuna uchawi,oneni mambo ya wangoni huko dadeki wanatisha balaa
Sumbawanga kwetu sijawahi shuhudia haya mambo.....!!Afu watu kila siku kubwabwaja tu ooh sumbawanga kuna uchawi,oneni mambo ya wangoni huko dadeki wanatisha balaa
Hata ya kwenu ya ng'ombe kuliwa na mwewe siyo haba.Sumbawanga kwetu sijawahi shuhudia haya mambo.....!!
Hata mie nimenyoosha mikono juu nilikuwa napinga sana vipi mdau nimesikia neno moja wanasema 'fedha za masharti' ni zipi hizo?Af mtu anakomaa hadi mishipa inamtoka eti hakuna Uchawi.. mkuje hapa mtoe maelezo ya kisayansi
Mie mwenyewe leo nina swali kuhusu fedha za masharti ni kweli zipo? je zikoje?Nipo sana kaka nitakuja na maelezo
Zipo sana na zinawatesa sana watuMie mwenyewe leo nina swali kuhusu fedha za masharti ni kweli zipo? je zikoje?
Hivi hii sheria ya uchawi ya mwaka 1928 si bado inatumika?Serikali hawaamini UCHAWI.
Ndo tunachokiweza mkuu!!Hii habari ni ya kweli nimeiona TBC, ila na sisi tumezidi sana kwenye ushirikina.
Nanyi mnaamini ile habari??Hata ya kwenu ya ng'ombe kuliwa na mwewe siyo haba.
huyo aling'atwa sumu ikiwa inamuingia taratibu.
Mwili wake ukifanyiwa autopsy au post-mortem mtuletee majibu hapa.
Hakuna kitu kama uchawi labda huyo nyoka alishamgonga ndo maana akafa kwa sumu ya taratibu, pia ninavyowajua waendesha bodaboda lazima na yeye alikula mawe na marungu mawili matatu hivi, kama huyo jamaa mchawi si angeroga pesa ikahamia nyumbani kwake
Mawili ama nyoka alimng'ata au amekufa kwa pressure kutokana na nyoka kupigwa hadi kufa.Af mtu anakomaa hadi mishipa inamtoka eti hakuna Uchawi.. mkuje hapa mtoe maelezo ya kisayansi
Imani ya mtuPole. Marehemu kwann uliunganisha nafsi
ndiyo kwa mujibu wa Atlas ya 2016Sumbawanga ipo ndani ya Songea si ndio?
Wakamatwe hao waliomuulia nyoka wake, kila mtu aheshimu imani ya mtu kama katiba inavyosema.Ukawaida wake ni nini ulikuta watu wanawanga mchana kweupe hadharani? Na kama umeweza kuwaona na kuona ni kawaida na wewe ni mmoja wao.