MAAJABU: Nyoka afa na mmiliki wake Songea

huyo alishang'atwa na nyoka sumu ikawa inamuingia taratibu.

Pumzika kwa amani huko uliko.
Amen.
maelezo yanaonyesha hajang'atwa na nyoka huu uchawi wke ni sawa na wale wenye hirizi zinapumua zikiacha kupumua na wao wanakufa
 
eti joka anaguse bega na kichwa chake nikae kimya uwiiii......... lala kwa amani nyoka na komba
 
Hao Maliasili wamemchukua huyo nyoka ili wamfanyie uchunguzi gani ? Hayo si mambo ya giza au uchunguzi wenyewe wanaufanya kichawi ?
 
Af mtu anakomaa hadi mishipa inamtoka eti hakuna Uchawi.. mkuje hapa mtoe maelezo ya kisayansi
Hakuna kitu kama uchawi labda huyo nyoka alishamgonga ndo maana akafa kwa sumu ya taratibu, pia ninavyowajua waendesha bodaboda lazima na yeye alikula mawe na marungu mawili matatu hivi, kama huyo jamaa mchawi si angeroga pesa ikahamia nyumbani kwake
 
souljah meditater said:
Kwa hiyo marehemu aliiunganisha nafsi au roho yake na nyoka? aisee huo ni utaalam wa gizani mshana jr hivi hii nayo tunaiita reincarnation?
Reicarnation haina mahusiano ya kuonganisha nafsi na kitu kingine. Reicarnation maana ake ni kurudi kwa uhai(Rebirth) katika mwili mwingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom