Mimi nakuhurumia sana! Nadhani uzwazwa unakusumbua!? Wewe huna chochote kwa sababu hata uwezo wako wa kuelewa ni Mdogo mno. Hao unaosema LA saba wamejiendeleza wamefika huko walikofika. Sasa wewe unaumwa nini? Uhakiki upo na utaendelea kila siku kila mwezi kila mwaka. Kama wamefoji si watapatikaba? Kuna OPRAS kila 6months, kuna chmt, kuna chmt na usalama wa taifa , kuna vyombo vyote Vya kushughulikia hayo!!!! Wewe ni nani kama si roho ya fisi tu!!!? Wewe ulie tu hatoki MTU na kazini kurudi wala hakuna byebye. Kafie mbele. Utatembea kwa mguu mpaka kufa kwa ajili tu ya roho mbaya. Mfa Maji haachi kitapatapa. Huna chochote usingeshughulika na umbea wa kike. Ungekuwa mchawi ungeua MTU. Sasa huna umebaki domo kaya. Nyokooooo!!!! Abigaeli, abigaeli!!! Naenda akuoe upate mtoto naona huna hata mtoto. Roho mbaya wahed.
Sent using
Jamii Forums mobile app