Unaonekana unachuki binafsi zaidi bahati ya mwenzio mlango wango waziManispaa ya Kigoma Ujiji imemkaimisha Mganga mkuu wa manispaa mwenye elimu ya darasa la saba..Filimbi ya haki inaweza kuripoti
Mganga mkuu huyo Abigael Mika KASUMANI hana cheti cha form four,alianza kama mfagizi wa ofisi kisha akanunua cheti cha form four na kujiendeleza kimagumashi na kujipachika cheo cha AMO.
Lakini wakati wa ukaguzi wa vyeti vya form four yeye na Muuguzi mkuu wa manispaa(ARK) walijifungia katika chumba na kuchukua mafaili yao na kunyofoa vyeti vya form four(vilivyokuwa feki) na kuacha vya darasa la saba
Hata hivyo uhakiki uliwapita salama na kwa kutumia ushawishi wao wanawake hawa majabali wawili waliwahonga waheshimiwa flani wawili na kufanikiwa kumshawishi Diwani mmoja mpenda rushwa kuwapigia chapuo na kuhakikisha Kasumani anabaki kukaimu nafasi ya mganga mkuu baada ya aliyekuwepo Peter NSANYA naye kutumbuliwa na kuondolewa utumishi wa Umma kwa kughushi
Katika hali ya ajabu sana Abigael karudi kukaimu na sasa inadaiwa yeye na muuguzi mkuu huyu darasa la saba wanatumia nafasi husika kuwakomoa wabaya wao,kuhamisha wafanyakazi wanaojifanya 'wajuaji' na kuingilia mafaili ya watumishi wengine kuhakikisha hawapewi nafasi hiyo ikibidi kwa kutumia 'ushirikina' na mambo mengineyo..
Sisi wafanyakazi tulioondolewa katika utumishi wa umma kwa kukutwa na vyeti visivyo halali TUNASHANGAA SANA KWA SABABU TULINUNUA VYETI WOTE NA ABIGAEL HANA CHETI CHA FORM FOUR..ANAKUWAJE KAIMU MGANGA MKUU?
WIKI IJAYO TUTAELEZA NAMNA ALIVYOFANYA UFISADI KATIKA MANUNUZI YA IDARA KATIKA MWAKA WA FEDHA ULIOPITA NA NAKALA YA NYARAKA HUSIKA ILI UMMA UJUE NAMNA SINTOFAHAMU MANISPAA NA JINSI MKURUGENZI JJ MBOYA ALIVYOZUNGUKWA NA MAFISI..
Iyo laki 1 yako ungeitumia kuongeza mtaji maana umetumbuliwa na umeeibia sana serikali ya Tanzania.Angalia kwenye uhakiki wa watumishi wa Umma kama utamuona mwenye jina hilo hapo manispaa ya Kigoma...na mwenzake pia Muuguz mkuu a.k.a mama la mama..ukiwaona nakutumia sasa hivi 100000 kwenye mpesa yako
Mwenye bandiko ni mtu wa ajabu sana. Na wakati mwingine anatakiwa kufikiri sio binaadamu wote wana fikra kama zake. Hebu fikiri, wakati wananunua vyeti na kufaidika na wizi alipiga kimya, sasa kimenuka anaanza kufitini. wenzake. Ni jambo la ajabu sana kumsikia mganga wa karne hii bado anaabudu ushirikina.Bahati ya mwenzako usiilalie mlango nje,Acha fitina,PAMBANA NA HALI YAKO
Acha umbeya wako kama mwenzako kapona we umekamatwa tumia plan B ! Na sio kuchongeana ! Sasa wote mkose kazi nani atamsaidia mwenzake ? Wewe kwa akili yako ya kibashite unafikiri hata sisi wengine wenye upeo mpana tunafurahia kufukuzwa kazi au kupata matatizo wengine ? Buni mbinu mbadala wewe akifukuzwa kazi utafaidika na ninii ?Manispaa ya Kigoma Ujiji imemkaimisha Mganga mkuu wa manispaa mwenye elimu ya darasa la saba..Filimbi ya haki inaweza kuripoti
Mganga mkuu huyo Abigael Mika KASUMANI hana cheti cha form four,alianza kama mfagizi wa ofisi kisha akanunua cheti cha form four na kujiendeleza kimagumashi na kujipachika cheo cha AMO.
Lakini wakati wa ukaguzi wa vyeti vya form four yeye na Muuguzi mkuu wa manispaa(ARK) walijifungia katika chumba na kuchukua mafaili yao na kunyofoa vyeti vya form four(vilivyokuwa feki) na kuacha vya darasa la saba
Hata hivyo uhakiki uliwapita salama na kwa kutumia ushawishi wao wanawake hawa majabali wawili waliwahonga waheshimiwa flani wawili na kufanikiwa kumshawishi Diwani mmoja mpenda rushwa kuwapigia chapuo na kuhakikisha Kasumani anabaki kukaimu nafasi ya mganga mkuu baada ya aliyekuwepo Peter NSANYA naye kutumbuliwa na kuondolewa utumishi wa Umma kwa kughushi
Katika hali ya ajabu sana Abigael karudi kukaimu na sasa inadaiwa yeye na muuguzi mkuu huyu darasa la saba wanatumia nafasi husika kuwakomoa wabaya wao,kuhamisha wafanyakazi wanaojifanya 'wajuaji' na kuingilia mafaili ya watumishi wengine kuhakikisha hawapewi nafasi hiyo ikibidi kwa kutumia 'ushirikina' na mambo mengineyo..
Sisi wafanyakazi tulioondolewa katika utumishi wa umma kwa kukutwa na vyeti visivyo halali TUNASHANGAA SANA KWA SABABU TULINUNUA VYETI WOTE NA ABIGAEL HANA CHETI CHA FORM FOUR..ANAKUWAJE KAIMU MGANGA MKUU?
WIKI IJAYO TUTAELEZA NAMNA ALIVYOFANYA UFISADI KATIKA MANUNUZI YA IDARA KATIKA MWAKA WA FEDHA ULIOPITA NA NAKALA YA NYARAKA HUSIKA ILI UMMA UJUE NAMNA SINTOFAHAMU MANISPAA NA JINSI MKURUGENZI JJ MBOYA ALIVYOZUNGUKWA NA MAFISI..
Mkuu hawa watu wanaoleta habar online banah wengi ni majungu tuuNashangaa ndugu zangu wa Kgm MAJUNGU!! Dr Abigael namfahamu nilisoma nae chuo, najua kuwa aliajiriwa mwaka 1984 na Halmashauri moja hapo Kgm baada ya kumaliza chuo cha waganga Maweni. Baadae alienda Musoma chuo cha Waganga na Bugando!!!!!! Lakini mkumbuke UDMO Sio kutibu tu na uongozi unakuwa ndani ya mtu, nidhamu, ukweli, uchapakazi,uwajibikaji nk. nk. Ndio maana wasomi hawakai Kgm majunguuuu!
Inaweza kuwa kweli, lakini nachelea kukubali kwa sababu katika Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji, Kasulu na Halmashauri ya Wilaya Kigoma ni miongoni mwa Halmashauri ngumu kutawaliwa na ndio maana kwa mfano ndani ya miaka mitano wakurugenzi wake wamebadilishwa zaidi ya mara sita, Changamoto ni fitna, Ujiji mmepoteza hata madaktari wazuri zaidi,wengine wamejiajiri, sitashangaa kama na hii haitakuwa majungu kama mengine, ila MUDA utasema
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo.jibu hoja..HANA CHETI CHA FORM FOUR CHA HALALI,HATA ANGEKUWA SPECIALIST..HII NDIO HOJA YA MSINGI.HABARI YA TUMEENDA NAYE CHUO CHA WAGANGA SIJUI MAWENI ACHANA NAZO..UJUE TU HANA CHETI CHA FORM FOUR.MEANS NI STANDARD SEVEN..WEWE UMEMUONA KATIKA ORODHA YA WATUMISHI WALIOHAKIKIWA YANI WENYE VYETI KATIKA MANISPAA YA KIGOMA? AU NIKULETEE ORODHA HAPA! USILETE POVU HAPA..JIBU HOJA..MANISPAA INA DMO WA DARASA LA SABA!Nashangaa ndugu zangu wa Kgm MAJUNGU!! Dr Abigael namfahamu nilisoma nae chuo, najua kuwa aliajiriwa mwaka 1984 na Halmashauri moja hapo Kgm baada ya kumaliza chuo cha waganga Maweni. Baadae alienda Musoma chuo cha Waganga na Bugando!!!!!! Lakini mkumbuke UDMO Sio kutibu tu na uongozi unakuwa ndani ya mtu, nidhamu, ukweli, uchapakazi,uwajibikaji nk. nk. Ndio maana wasomi hawakai Kgm majunguuuu!
Manispaa ya Kigoma Ujiji imemkaimisha Mganga mkuu wa manispaa mwenye elimu ya darasa la saba..Filimbi ya haki inaweza kuripoti
Mganga mkuu huyo Abigael Mika KASUMANI hana cheti cha form four,alianza kama mfagizi wa ofisi kisha akanunua cheti cha form four na kujiendeleza kimagumashi na kujipachika cheo cha AMO.
Lakini wakati wa ukaguzi wa vyeti vya form four yeye na Muuguzi mkuu wa manispaa(ARK) walijifungia katika chumba na kuchukua mafaili yao na kunyofoa vyeti vya form four(vilivyokuwa feki) na kuacha vya darasa la saba
Hata hivyo uhakiki uliwapita salama na kwa kutumia ushawishi wao wanawake hawa majabali wawili waliwahonga waheshimiwa flani wawili na kufanikiwa kumshawishi Diwani mmoja mpenda rushwa kuwapigia chapuo na kuhakikisha Kasumani anabaki kukaimu nafasi ya mganga mkuu baada ya aliyekuwepo Peter NSANYA naye kutumbuliwa na kuondolewa utumishi wa Umma kwa kughushi
Katika hali ya ajabu sana Abigael karudi kukaimu na sasa inadaiwa yeye na muuguzi mkuu huyu darasa la saba wanatumia nafasi husika kuwakomoa wabaya wao,kuhamisha wafanyakazi wanaojifanya 'wajuaji' na kuingilia mafaili ya watumishi wengine kuhakikisha hawapewi nafasi hiyo ikibidi kwa kutumia 'ushirikina' na mambo mengineyo..
Sisi wafanyakazi tulioondolewa katika utumishi wa umma kwa kukutwa na vyeti visivyo halali TUNASHANGAA SANA KWA SABABU TULINUNUA VYETI WOTE NA ABIGAEL HANA CHETI CHA FORM FOUR..ANAKUWAJE KAIMU MGANGA MKUU?
WIKI IJAYO TUTAELEZA NAMNA ALIVYOFANYA UFISADI KATIKA MANUNUZI YA IDARA KATIKA MWAKA WA FEDHA ULIOPITA NA NAKALA YA NYARAKA HUSIKA ILI UMMA UJUE NAMNA SINTOFAHAMU MANISPAA NA JINSI MKURUGENZI JJ MBOYA ALIVYOZUNGUKWA NA MAFISI..
Manispaa ya Kigoma Ujiji imemkaimisha Mganga mkuu wa manispaa mwenye elimu ya darasa la saba..Filimbi ya haki inaweza kuripoti
Mganga mkuu huyo Abigael Mika KASUMANI hana cheti cha form four,alianza kama mfagizi wa ofisi kisha akanunua cheti cha form four na kujiendeleza kimagumashi na kujipachika cheo cha AMO.
Lakini wakati wa ukaguzi wa vyeti vya form four yeye na Muuguzi mkuu wa manispaa(ARK) walijifungia katika chumba na kuchukua mafaili yao na kunyofoa vyeti vya form four(vilivyokuwa feki) na kuacha vya darasa la saba
Hata hivyo uhakiki uliwapita salama na kwa kutumia ushawishi wao wanawake hawa majabali wawili waliwahonga waheshimiwa flani wawili na kufanikiwa kumshawishi Diwani mmoja mpenda rushwa kuwapigia chapuo na kuhakikisha Kasumani anabaki kukaimu nafasi ya mganga mkuu baada ya aliyekuwepo Peter NSANYA naye kutumbuliwa na kuondolewa utumishi wa Umma kwa kughushi
Katika hali ya ajabu sana Abigael karudi kukaimu na sasa inadaiwa yeye na muuguzi mkuu huyu darasa la saba wanatumia nafasi husika kuwakomoa wabaya wao,kuhamisha wafanyakazi wanaojifanya 'wajuaji' na kuingilia mafaili ya watumishi wengine kuhakikisha hawapewi nafasi hiyo ikibidi kwa kutumia 'ushirikina' na mambo mengineyo..
Sisi wafanyakazi tulioondolewa katika utumishi wa umma kwa kukutwa na vyeti visivyo halali TUNASHANGAA SANA KWA SABABU TULINUNUA VYETI WOTE NA ABIGAEL HANA CHETI CHA FORM FOUR..ANAKUWAJE KAIMU MGANGA MKUU?
WIKI IJAYO TUTAELEZA NAMNA ALIVYOFANYA UFISADI KATIKA MANUNUZI YA IDARA KATIKA MWAKA WA FEDHA ULIOPITA NA NAKALA YA NYARAKA HUSIKA ILI UMMA UJUE NAMNA SINTOFAHAMU MANISPAA NA JINSI MKURUGENZI JJ MBOYA ALIVYOZUNGUKWA NA MAFISI..
We ndio una MAJUNGU Kama lilivyo jina lako Matonya...nimekwambia leta index number ya cheti cha huyu DAKTARI FEKI hujaleta..sasa endelea kumtetea halafu subiri tukupe nondo za wizi na ubadhirifu aliofanya manispaa kwa kushirikiana na baadhi ya watendaji wasio waminifu..utaelewa tu MATONYA WEWE!ACHA MAJUNGU YAKO, KAMA WEWE ULIONDOLEWA KATIKA UTUMISHI WA SERIKALI USIFIKIRIE PIA MWENZAKO ATAONDOKA KWA MAJUNGU KAMA HAYO, HAUNA HAYA KABISA, MTU MZIM A OVYO, ANGALIA MAISHA YAKO USIANGALIE YA MWENZAKO.
Kiongozi elewa MANTIKI YA THREAD..VYETI FEKI NI KOSA HATA USIHANGAIKE KUHUSISHA NA MAJUNGU FITNA NA MASUFURIA..KAMA NI HAKI KWELI BASI WOTE WENYE VYETI FEKI WANATAKIWA KUONDOKA AWE ABIGAEL AWE WEWE AU YEYOTE MISONDOE MMOJA MKAACHA MWINGINE..NDIO KAZI YA SISI RAIA WEMA KUKUMBUSHA KUHUSU HILI..NA TUTAENDELEA.NAJUA KUNA WANAOLIPWA ILI KUHAKIKISHA MNACHAFUA HALI YA UKWELI..ILA NAWAHAKIKISHIA TU KWAMBA HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA..VYETI FEKI VYA DAKTARI FEKI NA MUUGUZI MKUU MANISPAA LAZIMA VIELEWEKE NA HILI NAWAHAKIKISHIA LITAENDA NA WATENDAJI KADHAA MANISPAA WALIOKUWA WANAFICHA LISJULIKANE...SISI TUTASEMA..KAMA WEWE NI MKWELI NA UNAWATETEA KESHO MAPEMA POST HAPA INDEX NUMBER ZA WATUMISHI HAO WAWILI TU..KABLA HATUJAENDELEA NA WENGINE WALIO HAPO MANISPAAMwenye bandiko ni mtu wa ajabu sana. Na wakati mwingine anatakiwa kufikiri sio binaadamu wote wana fikra kama zake. Hebu fikiri, wakati wananunua vyeti na kufaidika na wizi alipiga kimya, sasa kimenuka anaanza kufitini. wenzake. Ni jambo la ajabu sana kumsikia mganga wa karne hii bado anaabudu ushirikina.
Kuwa mzalendo kwa kuverify ID yako kabla ya kuendelea na ubishi usio na mwishohttps://www.jamiiforums.com/members/filimbi-haki.444797/Kiongozi elewa MANTIKI YA THREAD..VYETI FEKI NI KOSA HATA USIHANGAIKE KUHUSISHA NA MAJUNGU FITNA NA MASUFURIA..KAMA NI HAKI KWELI BASI WOTE WENYE VYETI FEKI WANATAKIWA KUONDOKA AWE ABIGAEL AWE WEWE AU YEYOTE MISONDOE MMOJA MKAACHA MWINGINE..NDIO KAZI YA SISI RAIA WEMA KUKUMBUSHA KUHUSU HILI..NA TUTAENDELEA.NAJUA KUNA WANAOLIPWA ILI KUHAKIKISHA MNACHAFUA HALI YA UKWELI..ILA NAWAHAKIKISHIA TU KWAMBA HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA..VYETI FEKI VYA DAKTARI FEKI NA MUUGUZI MKUU MANISPAA LAZIMA VIELEWEKE NA HILI NAWAHAKIKISHIA LITAENDA NA WATENDAJI KADHAA MANISPAA WALIOKUWA WANAFICHA LISJULIKANE...SISI TUTASEMA..KAMA WEWE NI MKWELI NA UNAWATETEA KESHO MAPEMA POST HAPA INDEX NUMBER ZA WATUMISHI HAO WAWILI TU..KABLA HATUJAENDELEA NA WENGINE WALIO HAPO MANISPAA