Maajabu: Manispaa Kigoma yakaimisha 'DMO' darasa la saba

Mimi nakuhurumia sana! Nadhani uzwazwa unakusumbua!? Wewe huna chochote kwa sababu hata uwezo wako wa kuelewa ni Mdogo mno. Hao unaosema LA saba wamejiendeleza wamefika huko walikofika. Sasa wewe unaumwa nini? Uhakiki upo na utaendelea kila siku kila mwezi kila mwaka. Kama wamefoji si watapatikaba? Kuna OPRAS kila 6months, kuna chmt, kuna chmt na usalama wa taifa , kuna vyombo vyote Vya kushughulikia hayo!!!! Wewe ni nani kama si roho ya fisi tu!!!? Wewe ulie tu hatoki MTU na kazini kurudi wala hakuna byebye. Kafie mbele. Utatembea kwa mguu mpaka kufa kwa ajili tu ya roho mbaya. Mfa Maji haachi kitapatapa. Huna chochote usingeshughulika na umbea wa kike. Ungekuwa mchawi ungeua MTU. Sasa huna umebaki domo kaya. Nyokooooo!!!! Abigaeli, abigaeli!!! Naenda akuoe upate mtoto naona huna hata mtoto. Roho mbaya wahed.

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti Kuna CHMT na OPRAS? Sasa unadhani sisi hatujui ufisadi wenu..ungejua jinsi mlivyojulikana kuwafichia na jinsi mnavyohaha sasa hivi..wala hakuna mwenye roho mbaya kama yako ya kuwafichia uovu hao mashosti zako wa darasa la saba..[HASHTAG]#TULIA[/HASHTAG] DAWA IINGIE# HAKI HAIJAWAHI KUNYAMAZISHWA NA MATUSI YA NGUONI HATA SIKU MOJA..WE TUKANA SANA MATUSI YOTE ILA MWISHO NAWE DAWA ITAKUPATA...MAANA NI MIONGONI MWA WANAOTUMIWA NA HAWA KUFICHA UOVU HUU TULIOUFICHUA..TENA NAKUSHAURI UNYAMAZE LA SIVYO NITAYAWEKA HADHARANI MADUDU MENGINE YALIYO HAPO MANISPAA HASA IDARA YA AFYA AMBAYO WEWE NI MIONGONI MWA WATUMISHI WAKE NA MTUMWA WA KUFICHA UFEDHULI HUU..AU UNABISHA??
 
Majungu hayo, anajituma, Ni mchapakazi . Anaaminika.
Mheshimiwa kaimu DMO chapa kazi. Kaza uzi mti wenyewe matunda ndio unaotupiwa mawe.
Mie Nipo Lindi siwajui ila machapisho ya majungu Ni kamahayo.
Mheshimiwa kaimu DMO huwezi kumridhisha kila mtu hata Mungu kuna wanao mlalamikia .

Eti "Mheshimiwa Kaimu DMO"! Hii tabia ya kupenda uheshimiwa na kujiona binadamu wa juu zaidi ya wengine ndiyo inayoleta matatizo mengi katika nchi zetu za Kiafrika au zinazoendelea. Sasa hapa umesema hao watuhumiwa huwajui. Wewe uko Lindi. Lakini ume-'conclude' kwamba ni majungu!!! Umehitimisha hivyo kwa sababu zipi za kinadharia kama watu wenyewe hata kuwajua huwajui? Au na wewe ni 'mheshimiwa' fulani huko Lindi hivyo unatetea ' Mheshimiwa' mwenzio? Yaani umetoa 'unqualified conclusion' kwamba ni majungu bila hata ya kufanya utafiti wowote? Jamani, hii ni Century ya 21. Tujaribu kwenda na wakati...
 
Acha uongo.jibu hoja..HANA CHETI CHA FORM FOUR CHA HALALI,HATA ANGEKUWA SPECIALIST..HII NDIO HOJA YA MSINGI.HABARI YA TUMEENDA NAYE CHUO CHA WAGANGA SIJUI MAWENI ACHANA NAZO..UJUE TU HANA CHETI CHA FORM FOUR.MEANS NI STANDARD SEVEN..WEWE UMEMUONA KATIKA ORODHA YA WATUMISHI WALIOHAKIKIWA YANI WENYE VYETI KATIKA MANISPAA YA KIGOMA? AU NIKULETEE ORODHA HAPA! USILETE POVU HAPA..JIBU HOJA..MANISPAA INA DMO WA DARASA LA SABA!
Wewe Acha kutukana STDVII. Tunakubali ni STDVII lakini utendaji wake ukoje? Rejea Waraka wa Utumishi. 2004 kuhusu STD VII,
 
Tumek
Manispaa ya Kigoma Ujiji imemkaimisha Mganga mkuu wa manispaa mwenye elimu ya darasa la saba..Filimbi ya haki inaweza kuripoti
Mganga mkuu huyo Abigael Mika KASUMANI hana cheti cha form four,alianza kama mfagizi wa ofisi kisha akanunua cheti cha form four na kujiendeleza kimagumashi na kujipachika cheo cha AMO.

Lakini wakati wa ukaguzi wa vyeti vya form four yeye na Muuguzi mkuu wa manispaa(ARK) walijifungia katika chumba na kuchukua mafaili yao na kunyofoa vyeti vya form four(vilivyokuwa feki) na kuacha vya darasa la saba

Hata hivyo uhakiki uliwapita salama na kwa kutumia ushawishi wao wanawake hawa majabali wawili waliwahonga waheshimiwa flani wawili na kufanikiwa kumshawishi Diwani mmoja mpenda rushwa kuwapigia chapuo na kuhakikisha Kasumani anabaki kukaimu nafasi ya mganga mkuu baada ya aliyekuwepo Peter NSANYA naye kutumbuliwa na kuondolewa utumishi wa Umma kwa kughushi

Katika hali ya ajabu sana Abigael karudi kukaimu na sasa inadaiwa yeye na muuguzi mkuu huyu darasa la saba wanatumia nafasi husika kuwakomoa wabaya wao,kuhamisha wafanyakazi wanaojifanya 'wajuaji' na kuingilia mafaili ya watumishi wengine kuhakikisha hawapewi nafasi hiyo ikibidi kwa kutumia 'ushirikina' na mambo mengineyo..

Sisi wafanyakazi tulioondolewa katika utumishi wa umma kwa kukutwa na vyeti visivyo halali TUNASHANGAA SANA KWA SABABU TULINUNUA VYETI WOTE NA ABIGAEL HANA CHETI CHA FORM FOUR..ANAKUWAJE KAIMU MGANGA MKUU?

WIKI IJAYO TUTAELEZA NAMNA ALIVYOFANYA UFISADI KATIKA MANUNUZI YA IDARA KATIKA MWAKA WA FEDHA ULIOPITA NA NAKALA YA NYARAKA HUSIKA ILI UMMA UJUE NAMNA SINTOFAHAMU MANISPAA NA JINSI MKURUGENZI JJ MBOYA ALIVYOZUNGUKWA NA MAFISI..
Tumekujua urudi kwenuuuuu
unaleta majungu tu na hao tumewajua.
 
Hii mfowadie na Zitto Kabwe
 
Ungefikiria kwa nini Bashite hakutumbuliwa na makelele yale yote ungejua jinsi ya kuleta hoja!Jenga hoja na acha makelele!
 
Kaka cjui dada maisha yako yote huijui dunia dunia ndivyo ilivyo pambana na hali yako acha wivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri muda utakwambia...taarifa zipo za uhakika kwamba hata katika mfumo wa taarifa za utumishi za awali hawa waliorodheshwa kuwa na elimu ya kidato cha NNE..WEWE kaa Tegeta Kibaoni..ya Nsnya mwachie mwenyewe! sasa kama huyo muuguzi ni DARASA LA SABA..IMEKUWAJE ALISOMA St John Universite shahada ya Uuguzi tena akilipiwa na Manispaa kati ya Mwaka 2012-2015...tulia dawa iingie au Watetee kijinga jinga..hapa hakuna majungu.shauri yako kaa na ujinga wako..na hao wenzao wanaowafichia taarifa hizi jua kwamba linawahusu pia..NI SUALA LA MUDA TU@SUBIRI TU UTAONA
Nilidhani utakanusha kuhusu Nsanya kurudi kazini kama ulivyosema, kumbe bado husemi chochote, kama umejiridhisha amerudishwa kazini na kulingana na ulivyosema nakushauri umuombe radhi huyu Dokta kama wewe ni muungwana.
 
Kiongozi elewa MANTIKI YA THREAD..VYETI FEKI NI KOSA HATA USIHANGAIKE KUHUSISHA NA MAJUNGU FITNA NA MASUFURIA..KAMA NI HAKI KWELI BASI WOTE WENYE VYETI FEKI WANATAKIWA KUONDOKA AWE ABIGAEL AWE WEWE AU YEYOTE MISONDOE MMOJA MKAACHA MWINGINE..NDIO KAZI YA SISI RAIA WEMA KUKUMBUSHA KUHUSU HILI..NA TUTAENDELEA.NAJUA KUNA WANAOLIPWA ILI KUHAKIKISHA MNACHAFUA HALI YA UKWELI..ILA NAWAHAKIKISHIA TU KWAMBA HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA..VYETI FEKI VYA DAKTARI FEKI NA MUUGUZI MKUU MANISPAA LAZIMA VIELEWEKE NA HILI NAWAHAKIKISHIA LITAENDA NA WATENDAJI KADHAA MANISPAA WALIOKUWA WANAFICHA LISJULIKANE...SISI TUTASEMA..KAMA WEWE NI MKWELI NA UNAWATETEA KESHO MAPEMA POST HAPA INDEX NUMBER ZA WATUMISHI HAO WAWILI TU..KABLA HATUJAENDELEA NA WENGINE WALIO HAPO MANISPAA
Wivu ukizidi unazaa Roho Mbaya
 
Back
Top Bottom