Asilimia kubwa ya wauguzi na madaktari wenye tu vyeo ni washirikina kama si wachawi kabisa.Usipokuwa mchawi basi uwe mcha Mungu sana vinginevyo hutakaa katika nafasi hiyo au unaweza kupata ajali mbaya ili tu wenye nafasi zao wakaimu.Hivi na watu walioko sekta ya afya wanaamini ushirikina! Tumekwisha, kama hao wanatakiwa watuondoe kwenye hizo fikra na imani wao wamejichimbia na kuweka mizizi kwenye ushirikina hakuna atakayesalimika.
Digrii kama ya nursing pale st John inatolewa kishikaji sana.Imtu na Udom digrii za udaktari ni kama sandakarawe.Mfumo wa elimu umeharibiwa sana.Pamoja na habari yako kubeba majungu mengi, lakini kwenye uhakiki huu, nimegundua kuwa idara ya afya ambayo ni ngumu na nyeti ilikuwa imesheheni watumishi magumashi wengi. Swali najiuliza kama mtu form four alifeli akaamua badala ya ku re seat aende PHOTOCOPY and STATIONARY DOCUMENTS SECONDARY SCHOOL kujitwalia cheti kiulaini aliwezaje masomo magumu ya udactari ambayo enzi zetu wahenga PCB tuu ilikuwa inatupa uchizi? na je WANAPODAHILI WANACHUO KWENYE VYOU VYA AFYA SWALA LA VYETI HALISI HUWA HAMNAGA?
Kwezisho vipi? unataka nini kiongozi?Kuwa mzalendo kwa kuverify ID yako kabla ya kuendelea na ubishi usio na mwisho
Filimbi Haki
Status: Member
Joined:Jul 22, 2017
Messages: 8
Likes Received: 2
Trophy Points: 5
Umetumwa? waliokutuma waambie walete au wakupe index number za vyeti vyao ili wasiendelee kuiibia serikali kwa mishahara ya TGHS F na TGHS G wakati unajua kwamba hawastahili hata TGHOS A..Shauri yako endelea kutetea uovu halafu unaendelea kutumiwa..Pambana na hali yako hii waachie mamlaka wameshalichukua..wizara ya afya tayari ina taarifa ya magumashi haya.subiri utaona!Mbona umeandika as if unachuki binafsi na uliowataja?
Sijui kusudio lako nini ktk malalamiko yako hayo?
Pambana na hali yako msako wa vyeti feki umekwisha kama mwenzio amehatika kubaki ni bahati kwake usilazimishe kufanana.
Wapi mmeendelea? StupidHapo kwenu wachawi mno hapo kwenu hata mletewe malaika mtamtoa kasoro tu ndio maana hamuendei majungu baada ya kafwata umuulize a meloga wapi unakukuja huku.huruma yake dmo atakayekuja hapo ujiji ni shida majungu fit in a uchawi ndio usiseme
Wivu wa kike?Manispaa ya Kigoma Ujiji imemkaimisha Mganga mkuu wa manispaa mwenye elimu ya darasa la saba..Filimbi ya haki inaweza kuripoti
Mganga mkuu huyo Abigael Mika KASUMANI hana cheti cha form four,alianza kama mfagizi wa ofisi kisha akanunua cheti cha form four na kujiendeleza kimagumashi na kujipachika cheo cha AMO.
Lakini wakati wa ukaguzi wa vyeti vya form four yeye na Muuguzi mkuu wa manispaa(ARK) walijifungia katika chumba na kuchukua mafaili yao na kunyofoa vyeti vya form four(vilivyokuwa feki) na kuacha vya darasa la saba
Hata hivyo uhakiki uliwapita salama na kwa kutumia ushawishi wao wanawake hawa majabali wawili waliwahonga waheshimiwa flani wawili na kufanikiwa kumshawishi Diwani mmoja mpenda rushwa kuwapigia chapuo na kuhakikisha Kasumani anabaki kukaimu nafasi ya mganga mkuu baada ya aliyekuwepo Peter NSANYA naye kutumbuliwa na kuondolewa utumishi wa Umma kwa kughushi
Katika hali ya ajabu sana Abigael karudi kukaimu na sasa inadaiwa yeye na muuguzi mkuu huyu darasa la saba wanatumia nafasi husika kuwakomoa wabaya wao,kuhamisha wafanyakazi wanaojifanya 'wajuaji' na kuingilia mafaili ya watumishi wengine kuhakikisha hawapewi nafasi hiyo ikibidi kwa kutumia 'ushirikina' na mambo mengineyo..
Sisi wafanyakazi tulioondolewa katika utumishi wa umma kwa kukutwa na vyeti visivyo halali TUNASHANGAA SANA KWA SABABU TULINUNUA VYETI WOTE NA ABIGAEL HANA CHETI CHA FORM FOUR..ANAKUWAJE KAIMU MGANGA MKUU?
WIKI IJAYO TUTAELEZA NAMNA ALIVYOFANYA UFISADI KATIKA MANUNUZI YA IDARA KATIKA MWAKA WA FEDHA ULIOPITA NA NAKALA YA NYARAKA HUSIKA ILI UMMA UJUE NAMNA SINTOFAHAMU MANISPAA NA JINSI MKURUGENZI JJ MBOYA ALIVYOZUNGUKWA NA MAFISI..
Kiongozi mi sihitaji kurudi nina maisha yangu..huyu aliyekuwa victimised ni nurse tu ninayemjua ndio napata hizi habari..otherwise mi nina maisha yangu ila sipendi ujinga..sitaki watu waumizwe na hawa wajinga wachache!..subiri wiki chache zijazo utaona maneno yangu Kiongozi..Kama ameweza kurudi ww umeshindwa nn ? Acha uoga na ww pigana ili urudi ila majungu acha....!
Sent using Jamii Forums mobile app
uwe na heshima..uchawi upo popote hata kwenu..heshima kwanza Kiongozi..hata mimi babu yangu ni kamandaWapi mmeendelea? Stupid
subiri utajua tu...we subiri utaona tu kucheza cheza kwa harage ndio kuiva kwake!
Umeelewa uliemkot!?uwe na heshima..uchawi upo popote hata kwenu..heshima kwanza Kiongozi..hata mimi babu yangu ni kamanda
Cute Quuenly nakujua na kukuheshimu please usikubali kutumiwa...soma tena article,,usiwe unarukia vitu usivyovielewa..hapa makusudi sio majungu kwanza mimi ni mwananchi wa kawaida tu nakupa hints za ubabe na ujanja wa vyeti manispaa..uufahamu...wewe kama una cheti halali KAA KIMYA..SISI HATUTAKI WENYE VYETI FEKI KUENDELEA KUWA MANAGERS BORA WAWE WAFAGIAJI KWA STAHIKI YAO...UNARIDHIKA UNAPOONA STANDARD SEVEN ANA TGHS F HUKU TAARIFA ZAKE ZA KABLA YA 2017 ZIKIONESHA FORM FOUR KISHA ZA BAADA YA 2017 ZIKIONESHA NI DARASA LA SABA? KAMA UNARIDHIKA NJOO ONGEA KAMA HURIDHIKI TULIA DAWA IIIGIE...HATUTAKI UJINGA TENA!Mbona umeandika as if unachuki binafsi na uliowataja?
Sijui kusudio lako nini ktk malalamiko yako hayo?
Pambana na hali yako msako wa vyeti feki umekwisha kama mwenzio amehatika kubaki ni bahati kwake usilazimishe kufanana.
YES sio wewe Dream Boy..nilimaanisha huyo jamaa.ahsanteUmeelewa uliemkot!?
Hapana sikubariani na weweMleta mada hii habari ili isomwe na watumbuaji bora uipeleke twita na feisibuku!
Hapana tulishasma kwa baadhi ya mamlaka baada ya kukosa majibu tukaamua tulete hapa..mjue sasa ukweli halisi..kwa hiyo msingeondolewa mngekaa kimya?
Huyu mmuguzi pia alitumia cheti hichi hichi cha form four kufanyia admission na akajiunga pale..subiri utajua habari yake na mwisho wa hivi vitimbi..maisha ndio haya ya magumashi magumashi..hatutaki!Digrii kama ya nursing pale st John inatolewa kishikaji sana.Imtu na Udom digrii za udaktari ni kama sandakarawe.Mfumo wa elimu umeharibiwa sana.
Tena kuna graduates wengi sana mitaani ni hopeless kabisa.Unakuta jitu lina digrii lakini lugha mbovu,majungu na fitna kibao.Jitu halijiamini hadi anaamua kwenda kwa sangoma.Ni maisha yaliyozoeleka sana huku idara ya afya
Sent using Jamii Forums mobile app