Ma-super star wa jf...!!

Looh! Sijui nimewaachaje washawasha a.k.a nalog off na figganigga a.k.a mia.

mimi hujaniacha. huoni nilivyo kundandia kwa nyuma?. sweetlady wewe ni star kuliko hata X-GIRLFRIEND. Lakini na yeye wamo iwapo hawavumi. Mia
 
mimi hujaniacha. huoni nilivyo kundandia kwa nyuma?. sweetlady wewe ni star kuliko hata X-GIRLFRIEND. Lakini na yeye wamo iwapo hawavumi. Mia
Hahaha! Sante figganigga and nafurahi kusikia kuwa sijakuacha..mia.
 

You are the one
 
Duh! kweli nimepoteza umaarufu yaani jina langu nimelitafuta mpaka nakuja kuliona page # 6 tena nimekumbukwa na shemeji langu,asante mrembo
Usijali my lovely shemeji, umaarufu haujapotea kabisa, labda mimi nisiwepo jf, hakuna asiyejua kuwa wewe ni supa star wetu hapa jf. Ila shemu unapotea sana bana mbaya zaidi hata huagi, ntakununia ujue shemu?...lol... Mie penda wewe sana muulize hata wife wako husninyo..
 
Huo uzi umebamba wengi...mi huwa sikuelewaagi...siku nyingine tuko pamoja siku nyingine upo kivyako, yani ilimradi tu hueleweki.

Hahaha...najua tunapotofautiana! Tupo pamoja lakini!!
 
Asante sana my big Shem lol!
Umeifanya wikiend yangu iwe byeeeeee!
Plz mwambie my big sisy hapo pembeni yako nampa hi yakutosha!
 
Hommie, name calling ni kinyume na taratibu za JF jukwaa la chit chat. Lakini kwakuwa umenipa maujiko, utanidai bia mbili. Mwambie Sauda akupe ntamletea hela yake jioni.
 
Dah kumbe mi bado ni underground..!! Ila poa tu smday i'll make it....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…