Ma-super star wa jf...!!

Eish....hiyo bold mbona ni mtu mmoja?

Kulaaaleki, hili nimeliprinti nampelekea bibi yenu, leo chakula cha usiku ntapewa bila kubaka........

Oooh, Asprin thanks 4 the information
 
Kwa kesi ya kumbaka nani?

Unanikubali kwenye nini? hebu niambie kwenye PM bana hapa wanga wengi!
Haaa haaa haaa!
Yani babu du tayari ushachakachua sred lol!
Bora niseme hapa hapa sitaki kumpa kloro wangu presha bure nikapoteza mchumba mie!!
Nakukubali kwa umaarufu wako humu jamvini na kuwa na wajukuu kiba, hasa uliposhinda ule ubigwa wa kuchakachua sred za watu!
 
Kulaaaleki! kutajwa na Premium member kama huyu Bwana, zambi zangu tano zimeshasamehewa. Hii posti naicopy na kuipesti sehemu asije akabadili mawazo akadiliti.
Ahahaaah!! Baaaabuu....! Usihofu hiyo siwezi kuidiliti, unadhani siogopi laana ya babu?
 
The Finest, Afrodenzi, DenaAmsi, Ashadii, Desdii, Jasmin, CarolineDanzi, Lizzy, The Boss, Katavi, ... Nitarudi tena

Asante Elia, kumbe jf ina ma-superstar wengi! Wengine hapo siwafahamu..
 
Asante sana mwaya. Nje ya topic. Mbona umepotea sana

Asante kushukuru, Nilijiwaka kasero kadogo ila sasa nipo hewani full magwanda. Halafu nina kesi na wewe Eti Desdii na jasmin ni akina nani Nataka nijue kama asprin mkweli au umbea tu.....
 
I'm saving water and having a beer ..
goodnight all you good people..
me love you lots .. :)

Oh tutakumiss, huku bongo ndio kwanza mchana kweupeeeee...jua mpaka utosini, sasa sijui nikuambie gnt ama gafternoon,,,nenda kalale bana, hapa JF hapa utakonda bure!!
 
QUOTE=Elia;2800421]MAMMAMIA,
DarkCity,
Saint Ivunga,
First Lady,
Blaki Woman,
SMU,
Smile,
IGWE,
WhoCares?,
Bujibuji,
Mr Rocky,
PakaJimmy,
Fidel[/QUOTE]

Asante sana mkuu Elia. Kumbe na mimi nimo eeehh safi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom