Ma-super star wa jf...!!

Ma-super star wa jf...!!

Nilishawahi kusema hapa bila mpangilio wowote kama ifuatavyo:
  1. Afrodence-excelence ideology
  2. Ashadii-excelence mind, and quick responce kwa kila comment
  3. Husninyo-same as above
  4. Mwanakikjiji-anatumia ubongo kufikiri na wala sio masaburi
  5. MwanaJamiiOne-same as above
  6. Smile-huyu anagonga like kama hana akili nzuri vile
  7. Dena Amsi-sasa hivi anapoteapotea kiaina
  8. The Finest- Huyu mara nyingi anakeshaga bar,Fidel80 na The Boss
  9. Asprin-Huyu kaunta za juu za vilezi humkosi, nadhani ni paparazi huyu bwana
  10. Lizzy-nadhani huyu ni JF celebrity mwenye umri mdogo sana MMU
  11. Gaijin yuko same status na Eng Nsiande
  12. Rutashubanyuma-huyu bwana wa copy na paste, anatujuza mengi sana hapa jamvini
  13. Rejao-Mh huyu member mi mwenzenu simwelewi
  14. MziziMkavu-sounds like doctor, lakini yupo kiasili zaidi kama mganga wa kienyeji vile
  15. Sikonge na Waberoya-hawa mambwana hawa, we acha tu.
  16. Katavi-nilisema na ninasema, huyu bwana ana mwaka wa 3 humu jamvini, post zake hazizidi mistari 2, ni very short post
  17. Game Theory-He like CIA-haonekani siku hizi jamvini
  18. Mwita25-mwana mpotevu, kaongoka siku hizi
  19. .....
  20. .....
  21. ......
2q1iefq.gif

2i9m911.jpg

jidhjp.gif
Sizinga nikilazwa nje ya nyumba leo utantambua
 
Eish....hiyo bold mbona ni mtu mmoja?

Kulaaaleki, hili nimeliprinti nampelekea bibi yenu, leo chakula cha usiku ntapewa bila kubaka........

Kuna masaa 262800, yanakusubiri jela!!(au siku 10950 au miaka 30 ukitaka)
 
The great Superstar

Ni mimi babu ODM

Source: Asprin + klorokwini

Thread Closed!!
Haaaa haaaa!
Babu nakukubali japo sina umri mrefu humu na upo kwenye list yangu lol!
Tena wamesahau km ww ndio bingwa pekeee wa kuchakachua sred za watu lol!
 
Kumbe wewe ni Superstar haujawahi kuniambia utanieleza vizuri leo.....halafu huyu pacha wako anayeitwa AfroDanz mbona haujawahi kuniambia habari zake

join the club ..
hahahaahah lol AfroDanz bado namtafuta
naona ananiibia umaarufu wangu.. sasa wapi leo??
 
Kuna masaa 262800, yanakusubiri jela!!(au siku 10950 au miaka 30 ukitaka)
Kwa kesi ya kumbaka nani?

Haaaa haaaa!
Babu nakukubali japo sina umri mrefu humu na upo kwenye list yangu lol!
Tena wamesahau km ww ndio bingwa pekeee wa kuchakachua sred za watu lol!
Unanikubali kwenye nini? hebu niambie kwenye PM bana hapa wanga wengi!
 
Swali moja tu my dear ..
kwanini tu bado si
Premium member??
personal I think your awesome...

maana nakumbuka we ndo ulinifanya niwe P member

Njiii hii imeshafilisika dear!! Njaa hadi chumbani,hukusikia maongezii ya IMF juzi...ila ngoja nikomae, mwaka haushi huu, status itabadilika.,nshachoka.
 
The Finest, Chatu Dume, Klorokwini, Asprin, Cantalisia, Feis Buku, Sweetlady, WiseLady, Pakajimmy...........n.k
Kulaaaleki! kutajwa na Premium member kama huyu Bwana, zambi zangu tano zimeshasamehewa. Hii posti naicopy na kuipesti sehemu asije akabadili mawazo akadiliti.
 
Back
Top Bottom