naskia roho yangu imeishiwa nguvu kwa star rejao! toa neno mamdogo kabla sijageukia kwa Mr.Rock
Ngoja nisubiri niulizwe kwanza...tayari nimeshajipanga!kwa kuwa na rejao ameonyesha nia,
muulize,
"rejao umejipangapanga je" (ndo neno langu mimi mama yako)
Ngoja nisubiri niulizwe kwanza...tayari nimeshajipanga!
shukrani rocky love u sana with all my soul and bodyWa kwangu kiasi ( list ni ndefu sana)
AshaDii ( I L......... U)
Mama Tuli ( my wife wangu)
Dena( jitangazie mwenyewe)
Smile (mhhhh naogopa kusema )
Sweetlady (TF namuogopa sana)
Bebii
MJ1
Cantalisia
Gaijin
Gaga
Chauro
Husninyo
FeisBuk
Nyamayao
Preta
Afro Denzi
The Finest (PA pamoja sana viwanja kwa sana)
The Boss
Journe ( kwa mrombo lini aise)
Rejao (mzee wa jukwaa la stress)
Kloro (lawyer nina kesi unatakiwa unisimamie)
Asprin(Babu heshima mbele)
Funzadume( Mhhh naogopa kulitaja lile jukwaa maarufu)
Kibweka
Kibanga
Lizzy
Russian
Kaizer
Katavi
Mtambuzi
Mamndenyi
King'asti
Kimey
Fidel
Pj
Baba Enock
Teamo
Mzee wa Rula
Bishop Hiluka
Excellent (jukwaa la vichekesho)
MTM
Voice of reason
.................................list inaendelea
shukrani rocky love u sana with all my soul and body
shukrani rocky love u sana with all my soul and body
lol...siku hizi wanataka uhakika wa kutembea wamekaa aka kutembea kwa miguu minne!Una tembo card master card
miss u swit angel manyanzanilikua kifungoni hata nikichangia hapa nimeshachelewa..
inakuwaje Smile nikupitie tutoke leo?
ulikuwa wapi? nimekumiss sana hizi siku mbili...bado kidogo ningekureplace!shukrani rocky love u sana with all my soul and body
njoo bebyto njooinakuwaje Smile nikupitie tutoke leo?
nani sikutaki tena byeee mimi na manyaza sasa kijana anajua malavidavi sijui wa tangaulikuwa wapi? nimekumiss sana hizi siku mbili...bado kidogo ningekureplace!
lol...siku hizi wanataka uhakika wa kutembea wamekaa aka kutembea kwa miguu minne!
Yaani huyu huyu ninayemfahamu au mwingine? nenda...utarudi tu kunililia,,Mr. Rocky shahidi!nani sikutaki tena byeee mimi na manyaza sasa kijana anajua malavidavi sijui wa tanga
hii ndio kutembea umekaa!!! ukiwa na hii kitu ni 75% tayari ushawin! hata ki-vitz tu kinatosha!Inaanza kwanza una kazi (uhakika wa kupata pesa kila siku)
Una gari (ana uhakika wa kuwaonyesha mashosti wake kuwa amepata Mume)
Una tembo card master card ( anajua akiba haipungui na hatakuwa na shida ya matumizi)
halafu hapo unaaambiwa umepata mke
hayo ya kuwa na nyumba sijui property unayajua wewe kutumia kwanza maisha baadae
ulikuwa wapi? nimekumiss sana hizi siku mbili...bado kidogo ningekureplace!
Na wewe mbona unataka kuharibu???/Mara Feis buk mara Smile mara sijui nani
Mbona hueleweki
Utakosa wote sasa
wewe nakuona unatongoza tu hapa siku nzima huangalii huyu ni mama yangu ama vp .umeanza na mamndeny fb swilady faiza fox na nazjazYaani huyu huyu ninayemfahamu au mwingine? nenda...utarudi tu kunililia,,Mr. Rocky shahidi!