Lol, chumbani pia udi haukosekani, maji ya kuoga yanatiwa iliki na vitunguu swaumu, akimaliza kuoga anapakwa mafuta ya karafuu, khaa Mr. Rocky tukicheza tutampoteza kijana asee, ujue toka jana analishwa wali wa nazi tuu!
Asipotokea leo mpelekee ngua bana!
Hahaha!mimi namtaka rejao wangu bwana
Nimemuona bana ila inaonekana bado hajatulia manake amepita tu hapa. Ukimwona mwambie nimemmiss sana...Ametoka bana
Nafikiri kaazima nguo za kutokea
Ila eti anashangaa ya huku duniani hajui kuwa ukichelewa utamkuta mwana si wako
Usipate shida mpendwa as long as mie bado ni memba wa jf, hakuna wa kukusumbua hapa. Smile anajaribu tu ila am sure hataweza. Mwambie smile mimi na wewe hatujakutana barabarani..lol...kazi ipo hapa! ngoja nimsubiri sweetlady aje kunitetea!
daaah kweli umejipangaUsipate shida mpendwa as long as mie bado ni memba wa jf, hakuna wa kukusumbua hapa. Smile anajaribu tu ila am sure hataweza. Mwambie smile mimi na wewe hatujakutana barabarani..
Nna hasira zako, hakikisha unazipitia..Khaaa!! Huu mtindo wa kukuta Thread ndefu hivi na wapendwa wapo wametia kambi humu ndani ni majaribu kwa kweli.... Smile nianze page ya ngapi Kid sis??
BTW Tripple A Nashukuru kwa Kunipaisha bana!
Khaaa!! Huu mtindo wa kukuta Thread ndefu hivi na wapendwa wapo wametia kambi humu ndani ni majaribu kwa kweli.... Smile nianze page ya ngapi Kid sis??
BTW Tripple A Nashukuru kwa Kunipaisha bana!
Nimemuona bana ila inaonekana bado hajatulia manake amepita tu hapa. Ukimwona mwambie nimemmiss sana...
Nna hasira zako, hakikisha unazipitia..
Wifi mie bukheri wewe je?
Khaaa!! Huu mtindo wa kukuta Thread ndefu hivi na wapendwa wapo wametia kambi humu ndani ni majaribu kwa kweli.... Smile nianze page ya ngapi Kid sis??
BTW Tripple A Nashukuru kwa Kunipaisha bana!
Nimejaribu kukutafuta simu yako ilikuwa haipatikani...hujambo lakini?
Kuna Smile, Sweetlady na Rejao wanajitahidi kuipeleka mbio sana hii thread halafu Tripple A kaa kimya anachabo kwa mbali
Sehemu ikiwa na Sweet lady, Husny, Kimbia!! Naona wamemchakachua hadi Rejao kapunguza Politiki kidogo....lol
Hahaha dena wewe! Tripple A katuachia masupa staa bana, amegundua yeye sio!Kuna Smile, Sweetlady na Rejao wanajitahidi kuipeleka mbio sana hii thread halafu Tripple A kaa kimya anachabo kwa mbali
Sehemu ikiwa na Sweet lady, Husny, Kimbia!! Naona wamemchakachua hadi Rejao kapunguza Politiki kidogo....lol
hahaah...asante kwa kunisaidia...alikuwa amenishika pabaya!Usipate shida mpendwa as long as mie bado ni memba wa jf, hakuna wa kukusumbua hapa. Smile anajaribu tu ila am sure hataweza. Mwambie smile mimi na wewe hatujakutana barabarani..
AshaDii nimekumiss mbaya
Mzima wewe
Hapo umesema kweli leo Husninyo sijui yuko wapi aisee
Wifi uliondoka bila kuniaga wakati wajua ni jinsi gani navyokupenda... Nimeponea chupu chupu kujitoa jf kwasababu nilikuwa sikuoni bana!..Wifi HASIRA?? Why hasira from such a sweet person?? Mzima kabisa Wifi yangu....