Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Pindi mkiwa nyumba ndogo za maboss wenu mnaleta matatizo sana maofisini kwenu kwa wafanyakazi wenzenu.
Kama huyu wa hapa kampuni ya kuuza matairi.
Yeye ameshakuwa Deputy Director. Ana hire na kufire, akikuchukia kazi ipo mashakani.
Masecretary acheni unoko pindi mkiwa na mahusiano na maboss wenu.
Hivi still najiuliza, kwani kuwa na mahusiano na mabosi wenu ni security ya kazi au ufahari au nini