Ma-handsome hawana lolote kitandani

Huu umaarufu wa kuweka sredi nyingi JF unawapeleka kubaya!
Sasa hapa nikikuuliza ushaona performance za mahandiii wangapi utarusha ngumi!
Vp kuhusu madushe yao ?marefu mafupi?.
Enh ndo maswali unataka tukuulize!,na uyajibu!

mkuu, naona jiwe lililotupwa kizani limekupata--ndio maana unalalamika!
 
Blaza u are way too old for this ujuee!
Ishapita hiii tupa kule
Aaaand If at all Lara ndo piko kikweli will you puleeez make zis puraivet!
Itakusave vitu vingi sana blaza!

Matola zis is awa sista, pliz konsida ha advais!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaaaaaa! Brigedia General nasubiria tu attack zizidi niingie uwanjani! For now i fold my cards!
 
Blaza u are way too old for this ujuee!
Ishapita hiii tupa kule
Aaaand If at all Lara ndo piko kikweli will you puleeez make zis puraivet!
Itakusave vitu vingi sana blaza!

itifaki imezingatiwa, kuna wakati watu wanakulazimisha kuingia kwenye mambo ambayo hata mwenyewe huyapendia. nadhani hili limekwisha.
 
I wish to meet some of you guys in real life, maana hii mikwara humu ndani mtu akisoma anaweza Hama forum kwa staili hiyo, maana duuh
 
mwanamke uwe na heshima nimesema yamekwisha naomba kama unachangia jikite kwenye topic sasa. mimi ndio final say.
WHAAAAAAAAT.? So you think i deserve their wrath? Reallly? Take back your oders or i will have to disobey you my King! MY HONOR IS AT STAKE HERE! Please reconsider my lord!
 

We ni mvulana au msichana?
 
hahahaaahhahaa wewe mwanamkee wewe nakufata kwako na si pm
Hahaaaaaaa! HAPA VITA IMEPAMBA MOTO! Brigedia niko kazini, i have to wipe out all my enemies!

Hongera by the way kwa USHINDI ulioupata kwenye gazeti la makorokocho! Wish you become our next queen of the country! So impressed! Najua unashangaa how i knew, but i know!
 
mchunguzi huru wewe ni wa kike? kuna shuhuda tunategemea kuzipata kwa wahusika wenyewe.

Kutumia mtandao hakufanyi mtu aonekane si kichaa, wewe ni kichaa na kwa bahati mbaya haufaham hilo hivyo utapinga. Uchunguzi huh umefanyka kwa watu ambao tayari wamekutana na watu wa namna hiyo. Period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…