Ma "file" ya zamani ya mwenza wako!

Ma "file" ya zamani ya mwenza wako!

Hiyo ni exclusive sio past 😹😹😹

Miaka ijayo unafikiri hakuna mwamba ataiweka ndani chuma ile?

Kosa la yule kujirekodi lakini kuna watu wana mambo ya ajabu ni vile yapo sirini..!!

Kuna watu wameoa wanawake hawana bikra zote na maisha yanaendelea..!!

Mfano kama yule ndo mshafika stage nzuri mpo kwenye send off yake session ya kumtafuta bwana harusi, we ndo bwana harusi mtarajiwa umejificha mara paaah mkeka huu watsup kitu HD live bila chenga, utaendelea?

NB: No malice intended.
 
Past ni muhimu izingatiwe ukijua Kwa ushahidi achana na huyo mtu. Yaani Historia huamua hatima yako., asilimia 90 ya wanawake au wanaume wanao chepuka hiyo tabia haijaanzia ndani ya ndoa, hayo ni mzoea yake ni tabia yake
 
Kila mtu ana past yake,,, mi naangalia hapa na mbele huko nyuma naachia wapenzi watazamaji.
Siachi mtu kisa mambo ya nyuma
Mada inawahusu zaidi wanaume, kwa wanawake inajulikana kama financial security ipo past ya mwanaume huwa hamna time nayo labda kama alikua choko
 
Sasa si umeshasema ya zamani!
Kila mtu ana ukurasa wake wa zamani, katika kitabu chake cha maisha.
Muhimu ni kuendelea pale mlipokutania.
Past ya mwanamke huwa inaacha madoa sugu mkuu. Halafu hapo unakuta alishakwambia wewe ni wa pili kwake na hajazaa. Unaletewa mafile kumbe demu chama la wana na ana mtoto kamficha kijijini uko kwa bibi ake.
 
Ndipo nasema pale mnapoanza kuwa pamoja mnahesabu moja.forgeting your past huku mnafocus kwenye future.
Ila Yale yatayotokea tangu pale mlipoanza Moja ndio yatadetermine mchukue hatua gani

Kama ni past Kila mtu anayo yake.what matters most ni Yale yanayotokea mkiwa pamoja
Haujui uzito wa hayo mafile aliyotumiwa kwaiyo usijione una busara sana, lahiti huyo Ali kamwe angekua kaka ako usingechulia kirahisi rahisi tu. Kila siku tunasema humu past ya mwanamke inazingatiwa sana na wanaume.
 
Ina maana msemaji hakuona red flag hata moja??? Au alikua akiongozwa na kichwa kingine?

Mfano tu siku ya kwanza ndo umeenda nae faragha, ukimuweka doggy mtoto anaenda, unajaribu popo kanyea sijui nini kaenda, styles zote unazomuweka anaenda vizureee hiyo ni red flag tosha.

Ila sasa ukisikiliza kichwa cha chini kitakwambia "" hapa ukioa utafaidi, si unaona pisi iko flexible styles zote inaenda""

Hapo unatakiwa ujiulize hizo styles kajifunzia wapi?? Na kina nani???
View attachment 3585192
Watu na mbinu zao kujua wadangaji.
 
Back
Top Bottom