Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,835
- 99,797
Mimi mwenyewe akiyajua ya kwangu mbona atazimia wiki mzima na akiamka na kupiga funda moja tu la maji,chaliii tena.Anasamehewa tu.Mimi ni nani hasa?Asifanye ujingaujinga nikiwa naye tu.Ukishazipokea.response inakuwaje?
Unaweza kusamehe?