Ma "file" ya zamani ya mwenza wako!

Ma "file" ya zamani ya mwenza wako!

Mmeoana inaleak video baba chanja anakimbizana chumbani na wadada yupo mtupu.ama connection
Anyway yanasameheka.usaliti ndio kipengele
Mi hata nione connection aina gani siwezi kushtuka kwa sababu.
Ni aidha amerekodiwa bila kujua au alijua na manufaa ya kurekodiwa anayajua yeye.
Kama kwa muda huo sikuwepo kwenye maisha yake,,, sasa ratiba za nyuma za maisha yake Mimi hazinihusu.
Usaliti kwa wanaume wa kibongo ni sawa na kifua bila vinyweleo. Chagua usaliti unao umudu ishi nao. Maisha yenyewe mafupi
 
Ina maana msemaji hakuona red flag hata moja??? Au alikua akiongozwa na kichwa kingine?

Mfano tu siku ya kwanza ndo umeenda nae faragha, ukimuweka doggy mtoto anaenda, unajaribu popo kanyea sijui nini kaenda, styles zote unazomuweka anaenda vizureee hiyo ni red flag tosha.

Ila sasa ukisikiliza kichwa cha chini kitakwambia "" hapa ukioa utafaidi, si unaona pisi iko flexible styles zote inaenda""

Hapo unatakiwa ujiulize hizo styles kajifunzia wapi?? Na kina nani???
View attachment 3585192
Reply yako ni hatari kuliko hao wa mafile
Inawezekana kuna ndoa inaenda kuharibika
 
La muhim kwanza unapotumiwa mafaili ama kuchunguza visivyochunguzika , muite muhusika mkae chini umuulize na uone msimamo wake, pengine ni kweli alikua na mafaili mabaya ila amebadilika kutoka kwenye maisha hayo..ila Kuna MAKUMA wengine hua wakijua ya zaman ya mtu wake ama mabaya anaenda kutangaza kama kuku huku na huko
 
Mi hata nione connection aina gani siwezi kushtuka kwa sababu.
Ni aidha amerekodiwa bila kujua au alijua na manufaa ya kurekodiwa anayajua yeye.
Kama kwa muda huo sikuwepo kwenye maisha yake,,, sasa ratiba za nyuma za maisha yake Mimi hazinihusu.
Usaliti kwa wanaume wa kibongo ni sawa na kifua bila vinyweleo. Chagua usaliti unao umudu ishi nao. Maisha yenyewe mafupi
Km una hoja mahii??
 
1. Kwa dunia ya sasa, acha tabia ya kuweka mahusiano yako wazi
-shetani wa kuvunja mahusiano yupo kasi sana

2. Usimuulize mwenzako mara oo ulikuwa na nani kabla yangu, alikuwa anaisha wapi?
-mfano anakwambia my, huyo anaishi kivule matembele ya pili, halafu jumapili inayofuata anakwambia my naenda kwa nabii suguye kanisani kule kivule, yaani utapasuka roho kuwa leo kinawaka huko.
-JIEPUSHE KUFUATILIA HISTORIA YA KALE,
-ukiingia tu ukakosa bikra, we elewa kuwa wewe naye ni mojawapo ya mabehewa kwenye kichwa cha treni, jiandae kuvutwa hadi umauti.

3. usihadithie uzuri wa mwenza wako kwa umma. hapa kuna wapima uzito, utasikia kulikoni je kuna mapya? utapgiwa hadi utashtuliwa na mkojo wa asbh

4. kwa dunia ya sasa kuchapiwa ni kama kawaida maana vitoto hvi vina mizinga ya nyuki.
-chagua kunyamaza au kuwa busy na kazi yako au kufuatilia kila kitu upelekwe mirembe au butimba gerezani
 
Kumekuchaa
ENDELEA😄😄
Kwanza Huyo Kamwe hakuoa kwa kupenda, ni ile kuondoa fikra za watu juu yake kuwa ni Homo.

Haya sasa na sahivi ana date na Asma, huyo Asma hana Past? Naamini ya Asma yako wazi kuliko ya Yule mkewe ambaye hata hakujulikana be4. Lol
 
1. Kwa dunia ya sasa, acha tabia ya kuweka mahusiano yako wazi
-shetani wa kuvunja mahusiano yupo kasi sana

2. Usimuulize mwenzako mara oo ulikuwa na nani kabla yangu, alikuwa anaisha wapi?
-mfano anakwambia my, huyo anaishi kivule matembele ya pili, halafu jumapili inayofuata anakwambia my naenda kwa nabii suguye kanisani kule kivule, yaani utapasuka roho kuwa leo kinawaka huko.
-JIEPUSHE KUFUATILIA HISTORIA YA KALE,
-ukiingia tu ukakosa bikra, we elewa kuwa wewe naye ni mojawapo ya mabehewa kwenye kichwa cha treni, jiandae kuvutwa hadi umauti.

3. usihadithie uzuri wa mwenza wako kwa umma. hapa kuna wapima uzito, utasikia kulikoni je kuna mapya? utapgiwa hadi utashtuliwa na mkojo wa asbh

4. kwa dunia ya sasa kuchapiwa ni kama kawaida maana vitoto hvi vina mizinga ya nyuki.
-chagua kunyamaza au kuwa busy na kazi yako au kufuatilia kila kitu upelekwe mirembe au butimba gerezani
Hata ukija kuyaona wakidhani itakuwa surprise ila we unajibu "nilijua tu"
 
La muhim kwanza unapotumiwa mafaili ama kuchunguza visivyochunguzika , muite muhusika mkae chini umuulize na uone msimamo wake, pengine ni kweli alikua na mafaili mabaya ila amebadilika kutoka kwenye maisha hayo..ila Kuna MAKUMA wengine hua wakijua ya zaman ya mtu wake ama mabaya anaenda kutangaza kama kuku huku na huko
Labda ni mafaili ya ndani ya uchumba,means usaliti.
Lakini kama ni ya nyuma hakuna shida
The day unapoingia kwenye mahusiano na mtu mnaanza Moja.
 
Hayo yote uliyafanya kabla hujakutana na mtu sahihi. Maybe kama huwezi kurekebisha tabia ulizotoka nazo hapo nakupiga chini..!!
Upewe u mama mchungaji haraka sana. Uko na roho ya kusamehe sana.
 
ukamilifu tunaoutafuta chini ya jua hili haupo,, ishu za mahusiano na ndoa ukitafuta ukamilifu imekula kwako kidalipo
 
Back
Top Bottom