Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,175
- 12,994
- Thread starter
- #61
Uko sahihi mkuuYanaumiza lakini ni kukaa nae kwa tahadhari ili uone kama ni mtu mpya au ukale bado umo then ndo uamue
Uko sahihi mkuuYanaumiza lakini ni kukaa nae kwa tahadhari ili uone kama ni mtu mpya au ukale bado umo then ndo uamue
Unasema tuMwanaume Hawez kuwa na past mbaya hata siku moja, ila wanawake ndio 🙌
Sina Abigail.Sawa mkuu
Nawe si una yako lakini?
Nipe mfano mmojaUnasema tu
Yani nikupe file langu au?Ally kamwe anatia huruma, ndoa sio matracle kila mtu anayo, alikurupuka.....
Ebu tupe file lako, alafu tuje na uchambuzi yakinifu
Mmeoana inaleak video baba chanja anakimbizana chumbani na wadada yupo mtupu.ama connectionKila mtu ana past yake,,, mi naangalia hapa na mbele huko nyuma naachia wapenzi watazamaji.
Siachi mtu kisa mambo ya nyuma
Ukilawitiwa sio past mbaya?Mwanaume Hawez kuwa na past mbaya hata siku moja, ila wanawake ndio 🙌
Ukishatolewa ubingwa tayar automatically ww sio mwanaume, mm Nasemea mwanaumeUkilawitiwa sio past mbaya?
Ili Uwe mwanaume lazima Uwe na uume haijalishi unao ubingwa au lah..!!Ukishatolewa ubingwa tayar automatically ww sio mwanaume, mm Nasemea mwanaume
InategemeaMzee samehe Saba mara sabini😄
Ndipo nasema pale mnapoanza kuwa pamoja mnahesabu moja.forgeting your past huku mnafocus kwenye future.Unaweza kuoa asiye na mafile mabaya halafu akaja kuyatengeneza hayo mafile mabaya akiwa ndani ya ndoa,
The truth is everyone is going to hurt you,
you just got to find the ones worth suffering for.
Nahisi ni usaliti ndio maana akashindwa kuvumiliaYaliyopita kweli yamepita but huu Msemo haupo kamili asilimia Mia moja, inategemea na yamepita vipi, kuna situation hauna budi kufanya maamuzi hapo hapo...Bwana mdogo kuna vitu kakutana navyo kashindwa kuacha yapite, moyo ni nyama si chuma, kuna mambo siyo ya kufanya Sana siri...Some bitches belong to the streets.
Kuna shemale pia, je hawa n wanaume?Ili Uwe mwanaume lazima Uwe na uume haijalishi unao ubingwa au lah..!!
Ndo Ile babako alikua sugar daddy wa mkeo akiwa chuoWengi mmeenda mbali zaidi---ila kwa mfano
Mwenzako ana picha zake za zamani kwenye drive yake---kwenye kuhamisha hamisha vikatuni vya watoto mara paap,,,hizi hapa---sio mbaya sana---lakini zinaonyesha ukaribu wake na watu kadhaa unaowafahamu--na wewe ulikuwa hauutambui huo ukaribu.
Kasheshe!
Shemale hawana uke, ni wanaume waliovimbisha manyonyo..!!Kuna shemale pia, je hawa n wanaume?
Shemale hawana uke, ni wanaume waliovimbisha manyonyo..!!