M4C: Lema kuunguruma leo..

Tumuamini nani sasa waungwana, wekeni picha mliopo huko itasaidia kuondoa huu utatanishi
 
Umesikia huyo aliyekuwa anazika nyeti zake kwa mke wa mjeshi? Kwi! Kwi! Kwi!

Mkuu bora ukae kimya unajua kama unaishi kwenye nyumba ya vioo lakini? mambo ya kuchukuwa wake za watu tuyaache tujikite kwenye mkutano wa Sinza.
 
Tupo hapa viwanja vya TIPI Sinza ambako kuna kamkutano ka chadema,, ni aibu tupu kuna watu wasiozidi 40. Lema hana hamu. Inatia huluma sana kwa kweri.

Bwana Mungu wa Majeshi asema hivi: PALIPO WAWILI AU WATATU MIMI NIPO KATIKATI YAO.

Usiogope Mkuu umati utafurika tu bado mapema sana.
Ingekuwa ni wale wa kubebwa kwa malori wangeshajaa muda huu maana malori yanafika kwa mara moja!
 
Mkuu maneno ya Mungu hayana uhusiano na mkutano wa Sinza.
 
Wakuu habari kutoka Singida hivi punde tu, kwa chanzo cha habari cha kuaminika, zinasema Simbachawene amefumaniwa akiwa na mke wa mtu (mke wa askari mmoja) pale Singida katika Hotel ya Aqua.

Muda huu bado yuko Kituo cha Polisi Mkoa wa Singida akitoa maelezo. Amefumaniwa tangu saa 10 alfajiri. Baada ya kupata tip hiyo, maaskari walikwenda wakazingira hotel hiyo, wakati Simbachawene akitoka yule askari mwenye mke kumbe alikuwa ameficha sime/panga akamkata Mheshimiwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Nishati) na Mbunge wa Kibakwe.

Habari zinasema alikuwa yuko njiani kwenda msibani ukweni kwake, Karatu. Hata wakati wa kupiga kura jana jioni hakuwepo bungeni, mintaarafu kuwa anawahi msibani.

Hizo ndizo habari zilizotufikia punde wakuu. Itaendelea kuwa updated kadri iwezekanavyo.[FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]
[/FONT]
 
nami nipo hapa uwanja wa Tip kweli watu ni wachache mno labda tusubiri mpaka saa 11.
 
Ona aibu wewe!!! kwanza unajichanganya mara niko hapa,, mara ingaw sipo hapo,, na kujihirisha kwamba niliyoyasema ni kweli,, wewe mwenyewe umesema watu wako zaidi ya 40,, sasa fikiria kama kweli cdm wangekuwa na watu wengi hapa uwanjani,, huyu Dauphine angesema watu wamezidi 40?? si angesema wako zaidi ya 100 au 200. Nakwambia watu wachache kinoma hapa,, ni aibu

Weka picha zaidi ya hapo huna hoja, wenzako nae Mtwara alikuwa haoni kama wewe
 
Tupo hapa viwanja vya TIPI Sinza ambako kuna kamkutano ka chadema,, ni aibu tupu kuna watu wasiozidi 40. Lema hana hamu. Inatia huluma sana kwa kweri.

kumbe nu huluma kwa kweri, wala si tatizo kumbe imekaa sawa
 
nami nipo hapa uwanja wa Tip kweli watu ni wachache mno labda tusubiri mpaka saa 11.

huo ndo ukweli,, panapokuwa na mapungufu tukubali. Leo kimenuka!! siyo kila siku ijumaa....mbaya zaidi ni karibu sana hapa n nyumbani kwa Mnyika
 
kumbe nu huluma kwa kweri, wala si tatizo kumbe imekaa sawa

nilifanya makusudi nikijua vilaza kama wewe wasio na hoja huangalia vitu vya namna hiyo. Ukweli utabaki pale pale, leo kimenuka Chadema. Wananchi wameshaanza kuchoka longolongo
 
hacha uzushi,weka kifanani a.k.a picha tuone, au bado unatoa maelezo kituo cha polis kama fisichawene.
 
Back
Top Bottom