M4C: Lema kuunguruma leo..

Tupo hapa viwanja vya TIPI Sinza ambako kuna kamkutano ka chadema,, ni aibu tupu kuna watu wasiozidi 40. Lema hana hamu. Inatia huluma sana kwa kweri.
 
Sawa mkuu, naona unafanya kazi ya kiongozi wako mdhaifu. Very stupid posts for this day.
 
Si awahutubie hao hao wakaeneze habari njema huko waendako
 
Sawa mkuu, naona unafanya kazi ya kiongozi wako mdhaifu. Very stupid posts for this day.
mkuu mbona wamshambulia tu mleta hoja bila sababu ya msingi? au na wewe upo huko? Ina maana kasema uongo? kama sivyo ya nini kashfa?
 
Mbona tunaambia kuna maandamano makubwa watu ni wengi mno wamejitokeza kumpokea Lema.
kaka hakuna cha maandamano wala nini. Viti vitupu kabisa,, waliimba wimbo wao wa chama kumbe ni wamebadilisha ule wimbo wetu wa Taifa wanaingiza maneno CHADEMA humo ndani. Aibu sana kaka, usiombe
 
Mods tunaomba msiitoe hii thread tunapata updates kutoka Sinza.
 
Tupo hapa viwanja vya TIPI Sinza ambako kuna kamkutano ka chadema,, ni aibu tupu kuna watu wasiozidi 40. Lema hana hamu. Inatia huluma sana kwa kweri.

uongo, niko hapa na watu ni zaidi ya 40. Umehesabu vidole vyako au? 40 unaijua wewe au unahesabu walioko jukwaa kuu? Japo siko kwenye uwanjan ila nilipo naona na nasikia kila kitu
 
Acha kudanganya watu. Waliojitokeza ni wengi sana. Nadhani huyu mtoa thread anataka watu waache kumjadili Simbachawene
 
Mkuu CHADEMA hukifahamu wewe endelea na shughuli zako nyinginezo huko mitaani. Kwanza kule Singida kuna jambo; Waziri wa Kikwete kala sime kwa KUMCHEMBA mke wa mtu gesti.

Msaada wako unahitajika kule sasa hivi tu.

Tupo hapa viwanja vya TIPI Sinza ambako kuna kamkutano ka chadema,, ni aibu tupu kuna watu wasiozidi 40. Lema hana hamu. Inatia huluma sana kwa kweri.
 
kaka hakuna cha maandamano wala nini. Viti vitupu kabisa,, waliimba wimbo wao wa chama kumbe ni wamebadilisha ule wimbo wetu wa Taifa wanaingiza maneno CHADEMA humo ndani. Aibu sana kaka, usiombe

Mkuu wangu Koffie mbona watu ni wengi mno kuna wanafunzi wa vyuo zaidi ya 4000?
 
Last edited by a moderator:
uongo, niko hapa na watu ni zaidi ya 40. Umehesabu vidole vyako au? 40 unaijua wewe au unahesabu walioko jukwaa kuu? Japo siko kwenye uwanjan ila nilipo naona na nasikia kila kitu
Ona aibu wewe!!! kwanza unajichanganya mara niko hapa,, mara ingaw sipo hapo,, na kujihirisha kwamba niliyoyasema ni kweli,, wewe mwenyewe umesema watu wako zaidi ya 40,, sasa fikiria kama kweli cdm wangekuwa na watu wengi hapa uwanjani,, huyu Dauphine angesema watu wamezidi 40?? si angesema wako zaidi ya 100 au 200. Nakwambia watu wachache kinoma hapa,, ni aibu
 
Back
Top Bottom