Mkuu wangu Koffie mbona watu ni wengi mno kuna wanafunzi wa vyuo zaidi ya 4000?
Umesikia huyo aliyekuwa anazika nyeti zake kwa mke wa mjeshi? Kwi! Kwi! Kwi!
waringe??? nakwambia hakuna kitu hapa....hoi bin taaban
Tupo hapa viwanja vya TIPI Sinza ambako kuna kamkutano ka chadema,, ni aibu tupu kuna watu wasiozidi 40. Lema hana hamu. Inatia huluma sana kwa kweri.
weka picha wewe.Tupo hapa viwanja vya TIPI Sinza ambako kuna kamkutano ka chadema,, ni aibu tupu kuna watu wasiozidi 40. Lema hana hamu. Inatia huluma sana kwa kweri.
Mbona tunaambia kuna maandamano makubwa watu ni wengi mno wamejitokeza kumpokea Lema.
Bwana Mungu wa Majeshi asema hivi: PALIPO WAWILI AU WATATU MIMI NIPO KATIKATI YAO.
Usiogope Mkuu umati utafurika tu bado mapema sana.
Ingekuwa ni wale wa kubebwa kwa malori wangeshajaa muda huu maana malori yanafika kwa mara moja!
Ona aibu wewe!!! kwanza unajichanganya mara niko hapa,, mara ingaw sipo hapo,, na kujihirisha kwamba niliyoyasema ni kweli,, wewe mwenyewe umesema watu wako zaidi ya 40,, sasa fikiria kama kweli cdm wangekuwa na watu wengi hapa uwanjani,, huyu Dauphine angesema watu wamezidi 40?? si angesema wako zaidi ya 100 au 200. Nakwambia watu wachache kinoma hapa,, ni aibu
Waziri amekimbia suala nyeti la budget anajifanya msiba Kumbe anawahi ngononami nipo hapa uwanja wa Tip kweli watu ni wachache mno labda tusubiri mpaka saa 11.
Tupo hapa viwanja vya TIPI Sinza ambako kuna kamkutano ka chadema,, ni aibu tupu kuna watu wasiozidi 40. Lema hana hamu. Inatia huluma sana kwa kweri.
tupia picha basi tuone huo ukweli maana huyu anasema hivi na wewe wasema vile,nami nipo hapa uwanja wa tip kweli watu ni wachache mno labda tusubiri mpaka saa 11.
nami nipo hapa uwanja wa Tip kweli watu ni wachache mno labda tusubiri mpaka saa 11.
kumbe nu huluma kwa kweri, wala si tatizo kumbe imekaa sawa