Makirita Amani
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,914
- 3,437
lema akikaa dar miezi mitatu magamba yote yatapukutika........
wanafanywa hivyo nyinyiemu,nawewe najua jana ulifanywa hivyo.kibaraka kama wewe ambaye ni zezeta lazima wakulime ili uendelee kubaki mjini.wahi white inn wewe ukakalie kiti chako.
Tupo hapa viwanja vya TIPI Sinza ambako kuna kamkutano ka chadema,, ni aibu tupu kuna watu wasiozidi 40. Lema hana hamu. Inatia huluma sana kwa kweri.
Upo Sinza sehemu gani?Niko hapa sinza mkutanoni kuna umati mkubwa wa watu
Mbona ya CCM, hauombi picha?...Picha tutaweka tu wewe uliko lindi utaona jinsi mangamba yanavyo pukutika....Wewe kwako hata mashabiki wa Chadema wakiwa kumi wanatembea unasema maandamano makubwa...weka basi picha wa hayo maandamano makubwa!
Tulisha sema huko nyuma.Tupo hapa viwanja vya TIPI Sinza ambako kuna kamkutano ka chadema,, ni aibu tupu kuna watu wasiozidi 40. Lema hana hamu. Inatia huluma sana kwa kweri.
View attachment 57286M4C leo ni zamu ya sinza, wanafunzi vyuo vikuu waanza kukutana sinza white inn, ni kwenye mkutano utakao hutubiwa na kamanda Lema leo, wanafunzi zaidi ya 4000 kukutana...
======
updates
Maandamano mkubwa kutoka Sinza makaburini mpaka Sinza White Inn, watu ni wengi sana.
View attachment 57284
Kuna jamaa yangu kanitumia hii picha