Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,183
nina picha moja ya kimanga, nitaiweka soon
Kwani hujui uzinzi ni sera ya ccm? Uko wapi mkuu? Kwi! Kwi! Kwi!ulitaka iwekwe wapi? au uzinzi ni siasa....
heri ya waziri kuliko katibu mkuu wa chama chako aliyepora na kuzaa na mke
wa mtu ambaye hadi hivi sasa anaendelea kuzini naye, hapo vp mdau
Kwani hujui uzinzi ni sera ya ccm? Uko wapi mkuu? Kwi! Kwi! Kwi!
Mwambie Mwenyekiti wako Dhaifu akampe pole afande kwa kitendo alichofanyiwa na waziri wake au atapotezea kwa kuwa ndiyo tabia ya kigogo huyo wa ikulu aka dhaifu.....jamani sadaka itakayokusanywa leo na lema itumike kumlipa kamanda nikodem aliyebaguliwa na heche
hivi katibu mkuu slaa, na katibu wa kanda maalum ya dsm chadema tunawaweka katika kundi gani la wazinzi kwana na wao wameharamisha ndoa za watu
Kwani wamefumaniwa na wajeshi?hivi katibu mkuu slaa, na katibu wa kanda maalum ya dsm chadema tunawaweka katika kundi gani la wazinzi kwana na wao wameharamisha ndoa za watu
Hapo ni SINZA
lema bwana baada ya kukosa posho za ubunge sasa anaganga njaa kwenye kampeni ili aingize siku
asanteni wana sinza kwa kuwapotezea hao waganga njaa leo, huo ni mwanzo tu bado temeke na mbagala ambako watapewa naul za kuwarudisha moshi na arusha
ukipata wasaa wa kutembelea A ttown jaribu kuongea na makundi mbalimbali ya wakazi wa arusha juu ya nafasi ya lema kama uchaguzi utafanyika siku uliyokuwa unafanya mahojiano, hapo utapata jibu na matokeo ya uchaguzi mdogo! lema yupo mioyoni mwa wana ARUSHA, CDM inafuatia nyuma.
Dar ni ngumu kwa Chadema.
tatizo la CDM wameanzisha hii M4C ili kuwa ua mapema zaidi hawa jamaa inaonesha hawana hata chembe ya huruma bora CUF na NCCR kuliko CDMDar ni ngumu kwa Chadema.