M23 vs FARDC (DRC CONGO) Mapigano yaanza upya

M23 vs FARDC (DRC CONGO) Mapigano yaanza upya

Hapa tunazungumzia fact na sio kila habari inayotolewa basi uiamini lazima ujaribu kuushirikisha ubongo kwa karibu. Nauliza tena kama Lut. Rajabu alikuwa anazuia Raia wasipigwe risasi na hawa M23 ndio maana akauawa kwa nini hao M23 wasiwaue hao wananchi hata kabla hilo jeshi la DRC alijaingia katika maeneo hayo ambayo yalikuwa yanashikiriwa na hao M23?

Mimi chanzo changu JWTZ na vyombo kama BBC, VOA etc, sasa wewe lete chanzo chako hicho chenye "Facts" kuwa JWTZ ndio wanaopambana na M23. Mkiwa challenged kuleta vyanzo vya habari mnayeyusha lakini mnataka muaminike!
 



Kwa muda mufupi sikupatikana kwenye mutandao wa facebook na kwenye simu, sababu nilikuwa mahali hakuna network, kwa sasa nimefika mahali kuna network, Mutaanza pata habari kwa wakati. hatukupigana, tulijitosha katika maeneo zetu bila kupigana, silaha zetu zote tulienda nazo hakuna yenye tuliaca.

Ingelukuwa tulikimbiya hatugepata wakati ya kubeba bitu yetu. sasa mutu mwenye anayuwa fanya analyse, aifanye sasa. 1 kwa nini tilijitosha mumaeneo yetu bila kupigana? 2 Tulienda wapi? 3 Tutabakiya kwenye tulienda ama tutarundi, 3 Mbone FARDC haitufwate kwenye tuko? 4 kwa nini Kabila ameitika kuya zungumuza na japo kuwa alisha tushinda? Mwenye kicwa yake haitumike muzuri njo anaeza fanya fete eti M23 imeshindwa. Kwa marafiki, tuko tena tuko.

Twasubiri kyenye kitatoka Kampala kwenye mazungumuzo, kama hakuna kizuri kinatoka huko. Na FARDC FDLR, NA MONUSCO inasubutu kuanza Vita tena, PALE MUTAJUWA SISI NI WANANI
.

- at Bunagana, Democratic Republic of the Congo.

​Hata Saif Al Islam alikua anaongea hivi hivi wakati wanafurumishwa Tripoli...na sasa yuko jela...ni mbinu fulani hivi...hakatwi mtu hapa haaahahaaa...chezea JWTZ ww.
 
Wez wanashida sana zitafika tu arobain zao na kwa sasa siku zao zinahesabika
UN imeruhusu kujibu wasitarajie utulivu bali waweke silaha chin na waingie katika maridhiano
 
akiulizwa leo utajibu hayo tena?maana janna kapata kichapo murua
 
Si angesema tu alikimbilia porini simu\laptop yake ikaishiwa charge na hakuna pa ku charge!
 
Jamaa kama watoto hawa.. Ningekua Rais ningemuundia task force ya kum-hit uyu jamaa afu wote wangeshika adabu.
 
Propaganda za kijinga hizi za kina MUKAMASIMBA.
Hawa watutsi wako kama wale wanawake wa uswazi ambao kazi yao ni kukaa barazani na kuchonga umbea kwa kila anayepita barabarani.
 
Last edited by a moderator:
Propaganda za kijinga hizi za kina MUKAMASIMBA.
Hawa watutsi wako kama wale wanawake wa uswazi ambao kazi yao ni kukaa barazani na kuchonga umbea kwa kila anayepita barabarani.

Kwa tutsi moja usifananishe watutsi wote.
 
Last edited by a moderator:
huyu jamaa wanatakiwa wamkamate personally, wajidai kama wanaretreat halafu aingie DRC, wafunge exit, ingekua fantastic, halafu ukizingatia anatumia simu, laptop yaan ingekuwa ni one day to wana map precise location yake with margin of error isiyozidi inchi moja toka alipo.
 
Big result yaani anguko la elimu Tz ni sawa na kushindwa kwa M23

Mukifika kwenye mukiritu yao ndio mutajua ile mufurusha nyoka mupango....kiswahili chao kitamu sana
 
cku ingine usikae sehemu yenye haina network,vijana wako kumbe walikosa maelekezo ndo maana mkapigwa.sasa kimbia kwa meza ya mazungumzo.
Mkuu hakuna haja ya kupoteza muda na jamaa hawa ambao hawajui wanacho kitaka, kila kukicha wana-move goal post - mara tunataka hiki mara kile mtu unaweza kufikiri akili zao ni za kuhazima kutoka kwa Masters WAO. Binafsi nigeshauri makamanda wote wa M23 wafungwe maisha kama sio kunyongwa na wanao wa-finance waburuzwe the Hague wakahungane na Gabgo na mkewe, Charles Taylor na URUTO. M23 ni kudi la kigaidi ambalo limesababisha mauuaji na mateso mengi kwa binadamu wenzao nchini DRC, ni mijitu mikatili tu mijizi na mingine hajawahi kwenda shule, yanatumika kama robots tu.
 
hiki ni kiswahili gongana? kiswahili kiligonjeka kenya kikakufia kongoni...hahaha
 
mazungumzo na nani? nenda kajisalimishe kwa serikali ya congo the international community will see to it you get a fair trial and you have a right to have a lawyer!!!!
 
M23 RD Congo
Official Communiqué No. 064/
M23/2013

The M23 directorate deplores the
continuing attacks with heavy
weaponry carried at the present time
by the Democratic Republic of Congo
Armed Forces (FARDC) against our
positions on the heights of Rutshuru
after the strict compliance of
Cessation of Hostilities by our forces
given by the President of our
Movement this Sunday, November
3rd, 2013.
Our Movement calls up to the
dialogue Facilitator as well the
International community’s team of
special envoys accompanying the
dialogue to see through these attacks,
the refusal by the Congolese
Government to make peace through
peaceful means despite the
finalization on the same Sunday of all
the points of the Agenda of the
Dialogue in Kampala.
Our Movement recalls that it remains
ready to apply its signature on the
peace agreement finalized this Sunday,
November 3rd, 2013 in Kampala
without conditions and at anytime that
the facilitator of the dialogue will
schedule the event as this agreement
remains the expression of the
willingness of all parties to the
dialogue.

Chanzu , November 4, 2013

The Head of the Department of
Communication and Media
Amani Kabasha
 
Back
Top Bottom