M23 vs FARDC (DRC CONGO) Mapigano yaanza upya

M23 vs FARDC (DRC CONGO) Mapigano yaanza upya

Mkuu bila kumtoa Kagame trust me, it's just a matter of time before M23 will rise again. This is a cat and mouse game
Unachosema ni kweli mkuu ila kwa sasa kuna tofauti kubwa na hapo nyuma. Ingawa tulikuwa tunajua M23 wanakotoka, walikuwa wanakanusha ila hivi sasa tunajua waliko na huko ndiko watakakotokea in case waki-rise tena. Hapo ndipo hatua nyinginezo pamoja na hiyo (ikiwezekana) unayo-suggest kuchukuliwa.
 
we Kibanga bado uko gizani, ingia kwanza kwenye mitandao umjue vizuri kagame halafu ndo uje JF, mjue kwanza katokea wapi mpaka kuwa rais wa Rwanda.

Ndugu umedandia Tren kwa mbele! Kanisome tena utanielewa kuwa kinyume chake ndicho nilichomaanisha.
 
Waambia koba. They don't know what they are talking about.
wazo zuri kama unataka TZ lugha ya Taifa iwe Kinywaranda.
Hawa jamaa zangu wa PK sijui wamezamia wapi maana ni wabishiiiii!!!!!!!!!!!
Na M7 kawaficha askari wa M23 wapatao 1,700 na Sultan Makange eti hawawezi kushtakiwa ila wanyang'anywe tu silaha. Leo M7 kabadili tena anataka waingie Jeshini huko DRC hilo kosa ni kubwa hasa KABILA ni awakamate na kuwashtaki kabisa au kunyonga ili iwe salamu kwa Koba na murutongore NYONGA KABISA HICHO KIZAZI

avatar153940_1.gif
 
Last edited by a moderator:
ok kama huo mshahara ni mdogo na nyie mkaasi sasa uko msituni mlikua mnapata sh ngapi na source yenu ya mapato ni nn?

Nilishasema na kuna wadau wamesema humu, hakuna kuintergrate jeshi na waasi chamuhimu wapewe Mashamba wakalime tu.
 
Hawa jamaa zangu wa PK sijui wamezamia wapi maana ni wabishiiiii!!!!!!!!!!!
Na M7 kawaficha askari wa M23 wapatao 1,700 na Sultan Makange eti hawawezi kushtakiwa ila wanyang'anywe tu silaha. Leo M7 kabadili tena anataka waingie Jeshini huko DRC hilo kosa ni kubwa hasa KABILA ni awakamate na kuwashtaki kabisa au kunyonga ili iwe salamu kwa Koba na murutongore NYONGA KABISA HICHO KIZAZI

avatar153940_1.gif

1,700 ? My foot!
Labda na wake zao na watoto na wanafamilia wengine. Kikundi kizima hakifiki 2000 alafu kuchakazwa kote huko wawe bado 1700.

Narudia tena hakuna kurudia kosa la kuwaingiza jeshini, hao wapewe mashamba na ufundi stadi wakalime.
 
Last edited by a moderator:
Nawapongeza sana JWTZ na mh.rais JK...aliona mbali sana hili janga la kina PK na YKM...akaona kwanza tuanze na operation kimbunga then tukiingia Congo tunamaliza kazi...hii ni awamu ya kwanza na kuna awamu ya pili....watch this space!!!

Strategically if we join and consolidate forces with CONGO DRC in business and other stuff we will be better off 120%. EAC imejaa usanii tu na agenda za jamaa wawili watatu kututawala wengine wote. Kama kuna sehemu serikali imecheza karata ya turufu ni hili suala la Congo. Buhima Kingdom ingechukua tu tungesikia hadithi.
 
Back
Top Bottom