si kigali tu kampala pia, na sasa inawezekana hata Nairobi mizizi yao imefika...Ukitembea na mwizi lazima nawe utaanza kudokoa
Alshabaab wanawatosha Wakenya.
si kigali tu kampala pia, na sasa inawezekana hata Nairobi mizizi yao imefika...Ukitembea na mwizi lazima nawe utaanza kudokoa
Hii vita mbona bado mbichi? Bila kung'oa mzizi pale Kigali tutakuwa tunacheza makida tu..! Inafaa tukanyage mpaka KIGALI get that m.fu.ker dead or alive
unacheza na JWTZ-TPDF wewe,kutwa mzima siku mbili walikua wanavurumisha mizinga kwenye commanding post zao 3 za mwisho !!hivi unafikiri M23 hawakua na akili kwanini walipinga sana ujio wa JWTZ congo?hadi wakaandika barua kwenda bungeni na waliuhalalisha wa malawi,SA na wengineo?simply walijua JW ikiruhusiwa tu ndo mwisho wao as they forecasted
kilichobaki sasa hivi ni masalia tu ndo maana hata viongozi wao Bertrand Bisimwa wanajirudi na kutaka contract ya amani ambayo miezi miwili tu iliyopita waliipinga vikali,leo hii wanai demand tena isainiwe haraka iwezekavyo (wako maji ya shingo wanapata report mbaya kila kukicha uwanja wa vita)
Na muda huu sasa ndo wa Rais Kabila kufanya anachokitaka whether akubali,au kwa sababu adui kaishiwa nguvu ni 'kupiga tu kwa sababu walikataa kutii amri" na wengine kuwakamata live na kuwanyonga wapwezake PK
Mkuu chunga sana, financier wao i.e (M7 & PK) ni binadamu walio zaliwa na silika ya ubishi na dhalau, si rahisi kukubali kubwaga manyanga hivi hivi - tamaa/ndoto zao kuhusu DRC bado zipo pale pale; walicho fanya pale nakichukulia kama tactical withdraw wako mbioni ku-implement plan B. Kwa nini hatujiulizi ilikuwaje mkubwa wa M23 katoroshwa na chopper iliyo tumwa na M7, juzi niliona jeshi la Uganda linasema eti aliwezi kuvumilia makombora kutua ndani ya nchi yao, wanayesama hayo huku wakijua wazi/fika kinacho endelea - sasa walikuwa wanataka kufanya nini? Waingie vitani kuwasaidia M23 kwa kupigana na majeshi ya DRC na UN? au wanafikiri ndege zao za vita sita/tano(moja ilianguka) aina ya Sukhoi MK-30 ndio zitafua dafu kwa Airforce ya Africa Kusini, Zimbabwe, Angola na Tanzania - akijitia ujuaji akazitumia kushambulia majeshi ya UN akae akijua hiyo ndio itakuwa the begining of the end ya regime yake na mwenzake - akumbuke Mugabe alicho mwambia mkutanoni Paris Ufaransa. Mkuu remnant ya M23 haipashwi kuwa intergrated kwenye nyanja yoyote ndani ya Serikali ya DRC - Serikali ya DRC ikifanya makosa hayo basi wakina M7 na PK ndio watatekeleza plan B i.e itakuwa brought forward kwa ku-eliminate kisiri siri Viongozi muhimu ndani ya Serikali ya DRC, ni mabingwa sana katika fani hiyo si watu wa kuwekwa karibu na Serikali ya DRC - sina shaka Kabila Jr anakumbuka kilicho tokea kwa majenelali wa Kikongo ndani ya jeshi la DRC wakati baba yake alipokuwa ahi, Watutsi walikuwa wanamzunguka wanawamaliza Wajenerali na waafisa wengine wa jeshi ambao waliwaona ni tishio kwa plan zao ovu - si watu wa kuchezae hawa. Kama Serikali ya DRC inataka amani ya kudumu wakae nao mbali na kufatilia nyenendo zao kwa karibu. Binafsi ningependekeza kwamba Viongozi wote wa M23 kuburuzwe mahakamani preferably ICC au wanyongwe kabisa, askali wa kawaida wa M23 wawe demobilised wapewe majembe wakalime au wakafuge ng'ombe na kuku, DRC ni nchi yenye rutuba sana haiwezi kuwangusha - wahachane na viongozi wanao palilia fikira za Kikabila na Ufashisti ulio kubuhu, wakifanya makosa ya kuwasikiliza na ku-support ndoto zao za mchana, basi wakae wakijua mwisho wao utakuwa mbaya sana zaidi ya Gaddafi, Sadam Hussein, Mussolin na Hitler - wakumbuke historia huwa inajirudia.Kama sio mbinu ya kivita basi pongezi kubwa kwa majeshi ya Congo
![]()
Waasi wa M23 wamesalimu amri baada ya kupata kipigo kikali
Waasi wa M23 katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wametangaza kumaliza uasi wao ndani ya nchi hiyo muda mfupi baada ya kupigwa katika ngome yao ya mwisho na majeshi ya serikali ya Congo yakishirikiana na kikosi maalum cha Umoja wa Mataifa kilichopewa uwezo wa kupigana na waasi hao.
Katika taarifa walioitoa waasi hao wamesema badala ya kufanya uasi sasa wataendesha harakati zao kutumia njia ya kisiasa.
Muda mfupi uliopita Kiongozi wa waasi hao Bertrand Bisimwa ametangaza kuwaamuru mkuu wa wapiganaji wa M23 na makamanda wa vikosi vyote muhimu wa kundi hilo kuwaandaa wapiganaji wao kusalimisha silaha, kutawanyika kuondoka katika eneo la mapigano na kukubaliana na matakwa yatakayowekwa na serikali ya Congo
Awali Msemaji wa Serikali ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo Lambert Mende aliambia BBC kuwa majeshi ya nchi yameishambulia ngome ya mwisho ya waasi na wamekimbia na wengine huenda wakawa wamejisalimisha.
Majeshi ya serikali ya Kongo yakishirikana na kikosi maalum cha Umoja wa Mataifa kilichopewa uwezo wa kupambana na waasi hao walianza mapambano dhidi ya M23 Octoba mwaka huu na kufanikiwa kuwaondoa katika eneo la Bunagana kwenye mpaka wa Uganda ambayo ni ngome yao muhimu.
source;M23 wasalimu amri baada ya kipigo - BBC Swahili - Habari
watanzania tunaendelea kutengeneza cv ya kuwanusuru watu wanaokufa bila makosa oooooh GOD asante kwa kuwanusuru wakongoman.
Inatakiwa itengenezwe sababu ya Tz kuivamia na kuitwaa Rwanda.huyu mdudu Kagame watu tunamtamani sana.
Wewe sio mtanzania na inaelekea uelewi kikwetu.
Tuache watanzania tujadili kikwetukwetu. Kiazi Wewe.
Mkuu chunga sana, financier wao i.e (M7 & PK) ni binadamu walio zaliwa na silika ya ubishi na dhalau, si rahisi kukubali kubwaga manyanga hivi hivi - tamaa/ndoto zao kuhusu DRC bado zipo pale pale; walicho fanya pale nakichukulia kama tactical withdraw wako mbioni ku-implement plan B. Kwa nini hatujiulizi ilikuwaje mkubwa wa M23 katoroshwa na chopper iliyo tumwa na M7, juzi niliona jeshi la Uganda linasema eti aliwezi kuvumilia makombora kutua ndani ya nchi yao, wanayesama hayo huku wakijua wazi/fika kinacho endelea - sasa walikuwa wanataka kufanya nini? Waingie vitani kuwasaidia M23 kwa kupigana na majeshi ya DRC na UN? au wanafikiri ndege zao za vita sita/tano(moja ilianguka) aina ya Sukhoi MK-30 ndio zitafua dafu kwa Airforce ya Africa Kusini, Zimbabwe, Angola na Tanzania - akijitia ujuaji akazitumia kushambulia majeshi ya UN akae akijua hiyo ndio itakuwa the begining of the end ya regime yake na mwenzake - akumbuke Mugabe alicho mwambia mkutanoni Paris Ufaransa. Mkuu remnant ya M23 haipashwi kuwa intergrated kwenye nyanja yoyote ndani ya Serikali ya DRC - Serikali ya DRC ikifanya makosa hayo basi wakina M7 na PK ndio watatekeleza plan B i.e itakuwa brought forward kwa ku-eliminate kisiri siri Viongozi muhimu ndani ya Serikali ya DRC, ni mabingwa sana katika fani hiyo si watu wa kuwekwa karibu na Serikali ya DRC - sina shaka Kabila Jr anakumbuka kilicho tokea kwa majenelali wa Kikongo ndani ya jeshi la DRC wakati baba yake alipokuwa ahi, Watutsi walikuwa wanamzunguka wanawamaliza Wajenerali na waafisa wengine wa jeshi ambao waliwaona ni tishio kwa plan zao ovu - si watu wa kuchezae hawa. Kama Serikali ya DRC inataka amani ya kudumu wakae nao mbali na kufatilia nyenendo zao kwa karibu. Binafsi ningependekeza kwamba Viongozi wote wa M23 kuburuzwe mahakamani preferably ICC au wanyongwe kabisa, askali wa kawaida wa M23 wawe demobilised wapewe majembe wakalime au wakafuge ng'ombe na kuku, DRC ni nchi yenye rutuba sana haiwezi kuwangusha - wahachane na viongozi wanao palilia fikira za Kikabila na Ufashisti ulio kubuhu, wakifanya makosa ya kuwasikiliza na ku-support ndoto zao za mchana, basi wakae wakijua mwisho wao utakuwa mbaya sana zaidi ya Gaddafi, Sadam Hussein, Mussolin na Hitler - wakumbuke historia huwa inajirudia.