M23 vs FARDC (DRC CONGO) Mapigano yaanza upya

Anaye amini Watutsi huyo hawajui. Wakongo wanawajua vizuri sana ndiyo maana wana msimamo mkali dhidi yao. Kama ulisikiliza vizuri hotuba ya raisi Kabila, ule ndiyo msimamo wa Wakongo. M23 will never be re-integrated into the FARDC na kwamba maofisa wa kijeshi (about 150) wa M23 watashitakiwa, nadhani ni kati ya hao masalia (about 200) waliokuwa wakipigana kwenye ngome yao ya mwisho. Kumbuka 90% ya M23 ni askari kutoka Rwanda kwahiyo ukiwaingiza katika jeshi la Kongo utakuwa umemrahisishia kazi Kagame ya kufanya atakavyo. Wakongo walikosea mwanzo kuwaingiza jeshini lakini sasa wamegundua kwamba walikosea na hawawezi kufanya makosa tena.
 
Alshabaab wanawatosha Wakenya.

Nimecheka sana!!! yaani urafiki wetu na Kenya sijui unaenda wapi? yaani huwezi amini kuna uwezekano mkubwa sana moyoni kuna watu wanaunga mkono operation za Alshabab pale Kenya
 
Inatakiwa itengenezwe sababu ya Tz kuivamia na kuitwaa Rwanda.
Siungi mkono kuivamia Rwanda au Uganda kijeshi badala yake UN intervention brigade iimarishe ulinzi mpaka wa Kongo vs Rwanda & Uganda. Halafu yale madege yasiyokuwa na marubani (sijui yanaitwaje, drones eti?) yaletwe haraka! Nadhani mnajua kwanini Kagame alipinga kuletwa kwake hayo ma-drones.
 
Nimecheka sana!!! yaani urafiki wetu na Kenya sijui unaenda wapi? yaani huwezi amini kuna uwezekano mkubwa sana moyoni kuna watu wanaunga mkono operation za Alshabab pale Kenya

Mkuu hata mimi mmoja wapo, Wakenya wanajiona wapo juu sana Afrika Mashariki na Kati, acha wapigwe kwanza.
 
Siungi mkono kuivamia Rwanda au Uganda kijeshi badala yake UN intervention brigade iimarishe ulinzi mpaka wa Kongo vs Rwanda & Uganda. Halafu yale madege yasiyokuwa na marubani (sijui yanaitwaje, drones eti?) yaletwe haraka! Nadhani mnajua kwanini Kagame alipinga kuletwa kwake hayo ma-drones.

Hao Askari wa UN wataendelea kukaa hapo mpaka lini? Kumbuka uwepo wao huwa wanalipwa kila siku, chanzo cha mgogoro kinafahamika kuwa ni Kagame na M7, kuna umuhimu wa kuwatoa hao.
 
wazo zuri kama unataka TZ lugha ya Taifa iwe Kinywaranda.
Una maana Rwanda inaweza jibu mapigo na kuishinda TZ then kuisilimisha lugha ya kinyarwanda? You can't be serious. Hata sasa pasipo kupigana tumeshawasilimisha lugha ya Kiswahili na tamaduni za Kitanzania ninyi Wanyarwanda. Sasa sipati picha endapo TZ na Rwanda zikipigana halafu mkapigwa, tutawafundisha Kizaramo kinawatosha.
 
Hao Askari wa UN wataendelea kukaa hapo mpaka lini? Kumbuka uwepo wao huwa wanalipwa kila siku, chanzo cha mgogoro kinafahamika kuwa ni Kagame na M7, kuna umuhimu wa kuwatoa hao.

Yaani katika watu wanaoongea pumba, wewe ni nambari wani.
 
Mkuu hata mimi mmoja wapo, Wakenya wanajiona wapo juu sana Afrika Mashariki na Kati, acha wapigwe kwanza.

Wivu ka mwanamke. Sio kwamba wanajiona wako juu. Ni fact kwamba wako juu.
 
Musiwe na wasi wasi tungali. tuko congo hatujaenda fasi. Muti ingali na mizizi. mwanaume kama hajakufa usimucekelee. causes ambazo zinaleta vita mu congo zingali. leo M23 wazungu wanaweza amuwa kuimaliza kesho kunakuya bengine na ingine jina. wakati yote congo ingali na waongozi wambaya vita zitaendeleya. na kama FARDC ilisha anza iba batu ma telephones Rutshuru na Goma. misiwaceke ni sababu mushahara yenye wanapokeya haiwezi kumaliza shida ambazo wako nazo. avec 40usd ku mwezi hauwezi kulisha bibi na batoto. il fo babanyaganye ma telephones zenu juu bapate za cakula
 
Aaahooooooo, UMEPATIYA!
 
ni kweli wameshindwa....ufumbuzi thabiti sasa upatikane! halafu je ni kweli kuwa wanalipwa dola 40 ambayo ni sawa na shilingi za tanzania 64,000 ( elfu sitini na nne) ama ni propaganda mfu?
 
Siungi mkono kuivamia Rwanda au Uganda kijeshi badala yake UN intervention brigade iimarishe ulinzi mpaka wa Kongo vs Rwanda & Uganda. Halafu yale madege yasiyokuwa na marubani (sijui yanaitwaje, drones eti?) yaletwe haraka! Nadhani mnajua kwanini Kagame alipinga kuletwa kwake hayo ma-drones.
Mkuu bila kumtoa Kagame trust me, it's just a matter of time before M23 will rise again. This is a cat and mouse game
 
ok kama huo mshahara ni mdogo na nyie mkaasi sasa uko msituni mlikua mnapata sh ngapi na source yenu ya mapato ni nn?
 
Haha!
Unajua nyinyi jamaa mnachekesha sana, Rwanda inaingia vipi wakati ni Ugomvi wandani Congo wenyewe?

we Kibanga bado uko gizani, ingia kwanza kwenye mitandao umjue vizuri kagame halafu ndo uje JF, mjue kwanza katokea wapi mpaka kuwa rais wa Rwanda.
 
Back
Top Bottom