M-wekeza kutoka Vodacom Riba 13%

M-wekeza kutoka Vodacom Riba 13%

Hiyo mifuko inasimamiwa mkuu . wakitaka kufunga huduma nilazima watoe taarifa watu watoe fedha zao
Humu Kuna Uzi nilizanzisha jamaa alinitolea mfano eti meridian bank iliingia mitini na pesa za watu na hiyo ni ipo chini ya bot akasema hii mifuko iliingia mitini ndio imekula kwako
 
Humu Kuna Uzi nilizanzisha jamaa alinitolea mfano eti meridian bank iliingia mitini na pesa za watu na hiyo ni ipo chini ya bot akasema hii mifuko iliingia mitini ndio imekula kwako
Meridian bank siifahamu mkuu ilikuwaje?
 
Attachments

  • Screenshot_20250411-172454.jpg
    Screenshot_20250411-172454.jpg
    212.9 KB · Views: 35
  • Screenshot_20250411-172500.jpg
    Screenshot_20250411-172500.jpg
    267.1 KB · Views: 30
Kwahiyo hapo Vodacom hausiki na m wekeza si ndio hata kukitokea tatizo
Wamiliki wa mfuko ni Sanlam investment company walifanya partneship na Voda . So wahusika wakuu ni Sanlam sasa wewe unahisi tatizo ganI linaweza kutokea mkuu?
 
Wamiliki wa mfuko ni Sanlam investment company walifanya partneship na Voda . So wahusika wakuu ni Sanlam sasa wewe unahisi tatizo ganI linaweza kutokea mkuu?
Yaani hujanielewa mfano hiyo sanlam wakiingia mitini je voda wanamsaada Gani maana uwekezaji tumefanya kupitia laini zao na wao ndio wanajulikana sana tanzania
 
Yaani hujanielewa mfano hiyo sanlam wakiingia mitini je voda wanamsaada Gani maana uwekezaji tumefanya kupitia laini zao na wao ndio wanajulikana sana tanzania
Wataingiaje mtini mkuu hapo ndio sijakuelewa. Kuna vyombo.vinavyosiamia mifukp ya uwekezaji au unamanisha wakifilisika?
 
Ndio wakifilisika
Kufilisika sio rahisi maana wao hawawekezi kwenye hisa ili kupata faida wanawekeza kwenye hatifungani . Labda useme wafilisiwe na bank kuu labda kama kuna kitu wanafanya kinyume cha sheria na hivyo watatatakiwa kurudisha amana za watu . Au unamaanisha wakimbie na pesa? Hilo haliwezekani maana hiyo hela hawana cash labda wafanye transactions na transactions zina limit hakuna namna unaweza kuiba pesa nchini ukaondoka nazo
 
Sawa mkuu je Vodacom hawausiki ndio swali langu ila naona haunijibu nataka uhusika wa Vodacom kama kutatoke tatizo
 
Kampuni ya vodacom &Sanlam imeanzisha mfuko wa uwekezaji ambapo mwekezaji atapata faida 13% kwa mwaka .

M-wekeza ni huduma inayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada.

Wateja wote wa M-Pesa wanaweza kujiunga na kusajili Akaunti za M-wekeza na kuanza kuwekeza Unachotakiwa kufanya ni kupiga *150*00#>Huduma za Kifedha>M-wekeza.

M-wekeza ni huduma ya kidigitali inayorahisha uwekezaji kiganjani mwako bila gharama za ziada.

Pia kupitia M-Wekeza mteja anaweza kuwekeza Kiwango chochote na kupata faida mpaka 13% endapo atawekeza fedha zake kwa mwaka mzima na unaweza pata taarifa ya kifedha ya uwekezaji wako muda wowote kiganjani mwako.

MAELEZO YA KINA

M-WEKEZA ni huduma inayomuwezesha Mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada. M-WEKEZA inaweza kutumika na wateja wote wa M-Pesa wenye lengo la kuwekeza na kupata faida baada ya muda fulani. Kujiunga mteja utapiga *150*00# >Huduma za Kifedha>M-WEKEZA, faida za huduma hii M-WEKEZA ni huduma ya kidigitali inayorahisha uwekezaji kiganjani mwako bila gharama za ziada.
Pia kupitia M-Wekeza mteja anaweza kuwekeza Kiwango chochote na kupata faida mpaka 13% endapo atawekeza fedha zake kwa mwaka mzima na unaweza pata taarifa ya kifedha ya uwekezaji wako muda wowote kiganjani mwako.
Wateja wote wanaweza kufungua akaunti ya kuwekeza kwa ajili yako au kwa niaba ya rafiki mwenye namba ya Vodacom na mtumiaji wa M-Pesa. Hakuna makato yoyote ya mwezi au siku kwenye akaunti yako ya uwekezaji. Unaweza kuhamisha kiasi cha fedha au vipande kwenda kwenye akaunti nyingine ya rafiki bila makato ya ziada kupitia menyu ya M-WEKEZA. Fahamu kuwa wateja wote wana uwezo wa kupata taarifa ya kifedha muda wowote zinazoonesha , jumla ya pesa uliyowekeza, kiasi kilichopo ( Faida na Uwekezaji), taarifa za akaunti na kiasi kilichotoka na kuingia kwenye akaunti yako ya M-WEKEZA. Ahsante^JM
Haya lipa bill kwa Mpesa sasa
 
Sawa mkuu je Vodacom hawausiki ndio swali langu ila naona haunijibu nataka uhusika wa Vodacom kama kutatoke tatizo
Anahusika mkuu . Lakini pia Vodacom ni wawekezaji wakigeni
 
Sehemu unayowekeza inakupa 13% kwa mwaka ningumu sana kuwa na risk , risk nipale returng inakuwa kubwa yani faida ikiwa kubwa na risk onakuwa kubwa
 
Ooh sawa mkuu
Kama pesa yako unayopeleka bank bank wenyewe wanaenda kuiwekeza au kukopesha watu nawewe bado unaona bank nisafe kuweka pesa sasa unaogopa nini wewe kwenda kuwekeza?
 
Back
Top Bottom