M-wekeza kutoka Vodacom Riba 13%

M-wekeza kutoka Vodacom Riba 13%

Hii bado sijaielewa wao wanapataje faida
Dah basi wewe ni mgumu sana kuelewa mkuu yani mtu akae na pesa yako mtu mwenye akili ashindwe kupata faida? Letsay mtu akae na milion 50 yako then kwa mwezi akulipe laki 5 atashindwa kupata faida😃
 
Dah basi wewe ni mgumu sana kuelewa mkuu yani mtu akae na pesa yako mtu mwenye akili ashindwe kupata faida? Letsay mtu akae na milion 50 yako then kwa mwezi akulipe laki 5 atashindwa kupata faida😃
Kwahio hapo tunamkopesha sisi si ndio 😁
 
Kwahio hapo tunamkopesha sisi si ndio 😁
Ndio anafanyia kazi zake sema urahisi nikwamba ukihitaji kurudishiwa pesa yako anauwezo wa kurudisha muda wowote. So kwa vyovyote vile yeye anapata faida zaidi yako kubwa tu
 
Bora nianzishe kausha damu ntajua nitakavyo pambana na BOTView attachment 3158002
Uko sahihi. Kausha damu inalipa sana. Riba 20% hadi 30% kwa mwezi.

Ila hizi akaunti za uwekezaji kama hii ya M-Pesa au ile ya UTT ni nzuri kwa kutunzia pesa za vikundi vyenye malengo. Badala ya kuacha hela benki au kwenye M-koba ambako haiongezeki, mnaweka huku mnapata kariba kidogo.
 
Back
Top Bottom