ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,418
- 88,511
Miradi ya wastaafu
Kwa wastaafu ni miradi mizuri. Kwa sisi wasaka tonge naona ni nzuri kwa ajili ya kuweka pesa kwa muda wakati unafuatilia michongo ya maana ya kufanya. Mfano umebumba ukapiga kama 7M sehemu badala ya kuziweka ndani au benki ambapo watazitafuna kwenye monthly maintenance fee na mambo mengine pia waje kukukamua wakati wa kuzitoa mimi naona ni bora uzitupie kwenye hizi account za uwekezaji lengo sio upate faida ila kipindi unajikusanya na kutafuta issue ya kufanya kwa mtaji huo ulioupata ni bora pesa ikae huku kwasababu itakuwa kuna viji percent vinaongezeka vutasaidia wakati wa kuitoa pesa isiwe imekatwa utaipata ikiwa kamili unafanyia mitikasi yako. Ila kwa swala la kupata faida tuwaaachie kina MoMiradi ya wastaafu
Naona mnazidi kulamba asali huko M wekezaM wekeza for life
YaahNaona mnazidi kulamba asali huko M wekeza
Kutoa 10,000 unakatwa sh ngapi kwa wakala? Ni zaidi ya hiyo 13%Kampuni ya vodacom &Sanlam imeanzisha mfuko wa uwekezaji ambapo mwekezaji atapata faida 13% kwa mwaka .
M-wekeza ni huduma inayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada.
Wateja wote wa M-Pesa wanaweza kujiunga na kusajili Akaunti za M-wekeza na kuanza kuwekeza Unachotakiwa kufanya ni kupiga *150*00#>Huduma za Kifedha>M-wekeza.
M-wekeza ni huduma ya kidigitali inayorahisha uwekezaji kiganjani mwako bila gharama za ziada.
Pia kupitia M-Wekeza mteja anaweza kuwekeza Kiwango chochote na kupata faida mpaka 13% endapo atawekeza fedha zake kwa mwaka mzima na unaweza pata taarifa ya kifedha ya uwekezaji wako muda wowote kiganjani mwako.
MAELEZO YA KINA
M-WEKEZA ni huduma inayomuwezesha Mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada. M-WEKEZA inaweza kutumika na wateja wote wa M-Pesa wenye lengo la kuwekeza na kupata faida baada ya muda fulani. Kujiunga mteja utapiga *150*00# >Huduma za Kifedha>M-WEKEZA, faida za huduma hii M-WEKEZA ni huduma ya kidigitali inayorahisha uwekezaji kiganjani mwako bila gharama za ziada.
Pia kupitia M-Wekeza mteja anaweza kuwekeza Kiwango chochote na kupata faida mpaka 13% endapo atawekeza fedha zake kwa mwaka mzima na unaweza pata taarifa ya kifedha ya uwekezaji wako muda wowote kiganjani mwako.
Wateja wote wanaweza kufungua akaunti ya kuwekeza kwa ajili yako au kwa niaba ya rafiki mwenye namba ya Vodacom na mtumiaji wa M-Pesa. Hakuna makato yoyote ya mwezi au siku kwenye akaunti yako ya uwekezaji. Unaweza kuhamisha kiasi cha fedha au vipande kwenda kwenye akaunti nyingine ya rafiki bila makato ya ziada kupitia menyu ya M-WEKEZA. Fahamu kuwa wateja wote wana uwezo wa kupata taarifa ya kifedha muda wowote zinazoonesha , jumla ya pesa uliyowekeza, kiasi kilichopo ( Faida na Uwekezaji), taarifa za akaunti na kiasi kilichotoka na kuingia kwenye akaunti yako ya M-WEKEZA. Ahsante^JM
pesa kutoka kwenye ac ya m wekeza kwenda mpesa ni bureKutoa 10,000 unakatwa sh ngapi kwa wakala? Ni zaidi ya hiyo 13%
Kutoka mpesa kuja mikononi mwako ni % ngapi?pesa kutoka kwenye ac ya m wekeza kwenda mpesa ni bure
Ada ni Ile Ile ya siku zote inayotozwaKutoka mpesa kuja mikononi mwako ni % ngapi?
Unaona hapa navuta 70+elfu @wiki inasoma kama faida na mwisho wa mwezi zinajumlishwa kwenye mtajiKutoka mpesa kuja mikononi mwako ni % ngapi?
Mkuu upo vizuri hongera. Asee app yangu naona ile icon ya m wekeza imeondoka nimeitafuta sana haipo hadi nitumie ussdUnaona hapa navuta 70+elfu @wiki inasoma kama faida na mwisho wa mwezi zinajumlishwa kwenye mtajiView attachment 3497952
Lengo lako ni nin mkuu, sasa 10,000 unawekeza ninKutoa 10,000 unakatwa sh ngapi kwa wakala? Ni zaidi ya hiyo 13%
Hapa kwa mwezi faida ni laki 3 na 10+Unaona hapa navuta 70+elfu @wiki inasoma kama faida na mwisho wa mwezi zinajumlishwa kwenye mtajiView attachment 3497952
Kweli mkuu ukiwa na bilion kwa mwezi hukosi zaidi ya milion 13Kwa wastaafu ni miradi mizuri. Kwa sisi wasaka tonge naona ni nzuri kwa ajili ya kuweka pesa kwa muda wakati unafuatilia michongo ya maana ya kufanya. Mfano umebumba ukapiga kama 7M sehemu badala ya kuziweka ndani au benki ambapo watazitafuna kwenye monthly maintenance fee na mambo mengine pia waje kukukamua wakati wa kuzitoa mimi naona ni bora uzitupie kwenye hizi account za uwekezaji lengo sio upate faida ila kipindi unajikusanya na kutafuta issue ya kufanya kwa mtaji huo ulioupata ni bora pesa ikae huku kwasababu itakuwa kuna viji percent vinaongezeka vutasaidia wakati wa kuitoa pesa isiwe imekatwa utaipata ikiwa kamili unafanyia mitikasi yako. Ila kwa swala la kupata faida tuwaaachie kina Mo
Yah mkuuHapa kwa mwezi faida ni laki 3 na 10+
Mkuu hii ukijikusanya ukawa unavuta mil 1 per month kama faida, uzeeni hauwezi kuwa na stress ya maisha kivileMkuu upo vizuri hongera. Asee app yangu naona ile icon ya m wekeza imeondoka nimeitafuta sana haipo hadi nitumie ussd
Wao kianzio ni buku. Unadharau 10,000Lengo lako ni nin mkuu, sasa 10,000 unawekeza nin
Kikubwa iwe na ukweli tuu maana wasije wakatupeleka halafu wakasepa na vijisenti vyetu baadae huko japo naona wapo seriousMkuu hii ukijikusanya ukawa unavuta mil 1 per month kama faida, uzeeni hauwezi kuwa na stress ya maisha kivile