Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,696
Benki zinajulikana Sasa hao sanlam Mimi nimewajua kupitia VodacomKama pesa yako unayopeleka bank bank wenyewe wanaenda kuiwekeza au kukopesha watu nawewe bado unaona bank nisafe kuweka pesa sasa unaogopa nini wewe kwenda kuwekeza?