Scared
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,887
- 17,613
Kuwekeza Kwa niaba kivipi mkuuMsisahau kuwaambia watu kuwa mwanzo kuwekeza kwa niaba ilikua bure ila saa hizi makato kama kawa .. wekeni wazi na hilo

Kwaniaba haina tofauti na kutuma pesa mkuu, watu wanaweza kutumia njia hiyo kukwepa makato ya kumtumia mtu pesaMsisahau kuwaambia watu kuwa mwanzo kuwekeza kwa niaba ilikua bure ila saa hizi makato kama kawa .. wekeni wazi na hilo
Kwanza unawekaje pesa Kwa niaba si uweke pesa m pesa uhamishe Mimi xakiweka gharama za kutoa pesa na kuweka pesa ndio utakua mwanzo wa kuacha huu uwekezajiKwaniaba haina tofauti na kutuma pesa mkuu, watu wanaweza kutumia njia hiyo kukwepa makato ya kumtumia mtu pesa
Kwa niaba mfano wewe utake kuwekeza kwaajili ya mtu mwingine , maana yake hiyo pesa yako unaituma kwenye account yake ya mwekeza halafu yeye anaweza kutoa kwa wakati wowoteKwanza unawekaje pesa Kwa niaba si uweke pesa m pesa uhamishe Mimi xakiweka gharama za kutoa pesa na kuweka pesa ndio utakua mwanzo wa kuacha huu uwekezaji
Kuweka pesa ni free mkuu, gharama zipo kwenye kutoa pesa yako mpesa kupata Cash ya mfukoniKwanza unawekaje pesa Kwa niaba si uweke pesa m pesa uhamishe Mimi xakiweka gharama za kutoa pesa na kuweka pesa ndio utakua mwanzo wa kuacha huu uwekezaji
Sasa hiyo inakua kukwepa gharama za m pesa kama wakifanya freeKwa niaba mfano wewe utake kuwekeza kwaajili ya mtu mwingine , maana yake hiyo pesa yako unaituma kwenye account yake ya mwekeza halafu yeye anaweza kutoa kwa wakati wowote
Ww ushawahi kuwekeza Mpawa kumbuka unaambiwa Unaweza kupata mpaka Asilimia 13 unaweza kupata mpaka elewa mpaka mpakaKampuni ya vodacom &Sanlam imeanzisha mfuko wa uwekezaji ambapo mwekezaji atapata faida 13% kwa mwaka .
M-wekeza ni huduma inayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada.
Wateja wote wa M-Pesa wanaweza kujiunga na kusajili Akaunti za M-wekeza na kuanza kuwekeza Unachotakiwa kufanya ni kupiga *150*00#>Huduma za Kifedha>M-wekeza.
M-wekeza ni huduma ya kidigitali inayorahisha uwekezaji kiganjani mwako bila gharama za ziada.
Pia kupitia M-Wekeza mteja anaweza kuwekeza Kiwango chochote na kupata faida mpaka 13% endapo atawekeza fedha zake kwa mwaka mzima na unaweza pata taarifa ya kifedha ya uwekezaji wako muda wowote kiganjani mwako.
MAELEZO YA KINA
M-WEKEZA ni huduma inayomuwezesha Mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada. M-WEKEZA inaweza kutumika na wateja wote wa M-Pesa wenye lengo la kuwekeza na kupata faida baada ya muda fulani. Kujiunga mteja utapiga *150*00# >Huduma za Kifedha>M-WEKEZA, faida za huduma hii M-WEKEZA ni huduma ya kidigitali inayorahisha uwekezaji kiganjani mwako bila gharama za ziada.

Wateja wote wanaweza kufungua akaunti ya kuwekeza kwa ajili yako au kwa niaba ya rafiki mwenye namba ya Vodacom na mtumiaji wa M-Pesa. Hakuna makato yoyote ya mwezi au siku kwenye akaunti yako ya uwekezaji. Unaweza kuhamisha kiasi cha fedha au vipande kwenda kwenye akaunti nyingine ya rafiki bila makato ya ziada kupitia menyu ya M-WEKEZA. Fahamu kuwa wateja wote wana uwezo wa kupata taarifa ya kifedha muda wowote zinazoonesha , jumla ya pesa uliyowekeza, kiasi kilichopo ( Faida na Uwekezaji), taarifa za akaunti na kiasi kilichotoka na kuingia kwenye akaunti yako ya M-WEKEZA. Ahsante^JM
Ni hasara tupu kwa mtu anayejitafuta mfano nikiweka 1000000*13%=130000 Kisha gawanya kwa 130000/12=10800 kwa mwezi si Bora uuze KarangaKampuni ya vodacom &Sanlam imeanzisha mfuko wa uwekezaji ambapo mwekezaji atapata faida 13% kwa mwaka .
M-wekeza ni huduma inayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada.
Wateja wote wa M-Pesa wanaweza kujiunga na kusajili Akaunti za M-wekeza na kuanza kuwekeza Unachotakiwa kufanya ni kupiga *150*00#>Huduma za Kifedha>M-wekeza.
M-wekeza ni huduma ya kidigitali inayorahisha uwekezaji kiganjani mwako bila gharama za ziada.
Pia kupitia M-Wekeza mteja anaweza kuwekeza Kiwango chochote na kupata faida mpaka 13% endapo atawekeza fedha zake kwa mwaka mzima na unaweza pata taarifa ya kifedha ya uwekezaji wako muda wowote kiganjani mwako.
MAELEZO YA KINA
M-WEKEZA ni huduma inayomuwezesha Mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada. M-WEKEZA inaweza kutumika na wateja wote wa M-Pesa wenye lengo la kuwekeza na kupata faida baada ya muda fulani. Kujiunga mteja utapiga *150*00# >Huduma za Kifedha>M-WEKEZA, faida za huduma hii M-WEKEZA ni huduma ya kidigitali inayorahisha uwekezaji kiganjani mwako bila gharama za ziada.
Pia kupitia M-Wekeza mteja anaweza kuwekeza Kiwango chochote na kupata faida mpaka 13% endapo atawekeza fedha zake kwa mwaka mzima na unaweza pata taarifa ya kifedha ya uwekezaji wako muda wowote kiganjani mwako.
Wateja wote wanaweza kufungua akaunti ya kuwekeza kwa ajili yako au kwa niaba ya rafiki mwenye namba ya Vodacom na mtumiaji wa M-Pesa. Hakuna makato yoyote ya mwezi au siku kwenye akaunti yako ya uwekezaji. Unaweza kuhamisha kiasi cha fedha au vipande kwenda kwenye akaunti nyingine ya rafiki bila makato ya ziada kupitia menyu ya M-WEKEZA. Fahamu kuwa wateja wote wana uwezo wa kupata taarifa ya kifedha muda wowote zinazoonesha , jumla ya pesa uliyowekeza, kiasi kilichopo ( Faida na Uwekezaji), taarifa za akaunti na kiasi kilichotoka na kuingia kwenye akaunti yako ya M-WEKEZA. Ahsante^JM
Wakati unawekeza unaambiwa kiwango utakachopata mkuu. Haijawahi kushuka 11.9 -13.8%Ww ushawahi kuwekeza Mpawa kumbuka unaambiwa Unaweza kupata mpaka Asilimia 13 unaweza kupata mpaka elewa mpaka mpaka
Ndio niwao mkuuSio LBL HAWA?
Sasa milion 1 uwekeze kweli mkuu unatafuta nini? Zungusha pesa hiyo.Ni hasara tupu kwa mtu anayejitafuta mfano nikiweka 1000000*13%=130000 Kisha gawanya kwa 130000/12=10800 kwa mwezi si Bora uuze Karanga
Muda wowoteFafanua unawekeza lkn hutatoa pesa hiyoo had mwaka uishe??
Huko masikini upati faida ni Kwa watu wenye pesa mzigo wa maanaWananchi Wengi Tz kipato chetu ni chini ya 300000 kwa mwezi hivyo nazani hiyo sio sehemu salama katika uwekezaji wetu
Inawezekana mkuu, tupia 30k kila mwezi ndani ya miaka 30 uone kama sio helaWananchi Wengi Tz kipato chetu ni chini ya 300000 kwa mwezi hivyo nazani hiyo sio sehemu salama katika uwekezaji wetu
Kunajamaa anasema eti endapo hao m wekeza wakiingia mitini Vodacom hawausiki je ni kweliInawezekana mkuu, tupia 30k kila mwezi ndani ya miaka 30 uone kama sio hela
Mwekezaji ukiingia mtini si watu wengine wanaendelea kuwekeza?Kunajamaa anasema eti endapo hao m wekeza wakiingia mitini Vodacom hawausiki je ni kweli
Sasa vipi kuhusu pesa zetu tulizoweka kama hao m wekeza wakiingia mitini mkuuMwekezaji ukiingia mtini si watu wengine wanaendelea kuwekeza?