M-wekeza kutoka Vodacom Riba 13%

M-wekeza kutoka Vodacom Riba 13%

Weka pesa. Tulia. Faida inajikusanya kila siku , itawekwa kwenye account tarehe 2-5 ya mwezi . Faida ni ile mpaka 13% ya pesa yako ambayo utaigawanya kwa miezi 12. Kwakuwa muda mwingine inaweza kushuka mpaka 12% huwa hakuna kiwango costantant cha pesa unachoweza kulipwa lakini itarange kwenye 12%-13% na pwent kwahiyo kama 13% gawanya 1.08 kwa mwezi hivyo kwa siku unaweza kupata 0.03 ya pesa yako. nikila siku faida itajumuishwa kwenye mtaji baada ya tarehe 2-5
 
Nani amekwambia hawaisemi? Wakati unapowekaza wanakwambia kabisa makadirio ya faida kwa mwaka jaribu kuweka hata 1000 watakwambia kama ni 12% 12.5, au 13%
 
Aliyekuambia uhame ninani mkuu?
Pia M -wekeza haina compound interest ndani ya mwezi. Faida hujumuishwa kwenye mtaji baada ya mwezi kupita
tofauti na utt ni 1% tu, ambayo haiwezi ikanifanya nikahamia m pesa ambako msimamizi wa mfuko hajulikani, ambapo utt kila mtu anajua inasimamiwa na hazina ya jamhuri ya muungano wa Tz
 
Hio ni passive income mzee sio biashara ya kukupa faida kila siku😆! Badala ya kuweka hela ikakaa bila kuzalisha unaiweka humo. Gawio lako la 13M kama una watoto uhakika wa ada unakuwepo bila kelele kila January.
Halafu sio kila mtu anaweza fanya biashara. Mimi nimeweka huko na sijawahi kutoa. Zinaongezeka tu. Na kila mwezi naonhezea huko. Wengine ni wafanyakazi na hatuwezi kukimbizana na biashara.
 
Halafu sio kila mtu anaweza fanya biashara. Mimi nimeweka huko na sijawahi kutoa. Zinaongezeka tu. Na kila mwezi naonhezea huko. Wengine ni wafanyakazi na hatuwezi kukimbizana na biashara.
Kweli biashara ni kipawa sio kila mtu amejaliwa kipawa hicho.
 
Msisahau kuwaambia watu kuwa mwanzo kuwekeza kwa niaba ilikua bure ila saa hizi makato kama kawa .. wekeni wazi na hilo
 
Back
Top Bottom