Scared
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,887
- 17,613
Ooh sawa kumbe Haina tofauti na tigopesa kibubuMuda wowote
Ooh sawa kumbe Haina tofauti na tigopesa kibubuMuda wowote
sifahamu kama nisawa mkuu. Ila m-wekeza wao wanatoa 13% kwa mwaka hii inamaana kwa siku unaweza kupokea 1%-1. Something . Na hiyo faida haihesabiwi kwenye mtaji nimpaka mwezi uisheOoh sawa kumbe Haina tofauti na tigopesa kibubu
Sasa mpesa inaweza pokea 234mil?Hapana . Nilazima iwepo Mpesa.
Kwahiyo mwezi ukibisha ndio unapokea gawio lao Kwa pesa uliyowekezasifahamu kama nisawa mkuu. Ila m-wekeza wao wanatoa 13% kwa mwaka hii inamaana kwa siku unaweza kupokea 1%-1. Something . Na hiyo faida haihesabiwi kwenye mtaji nimpaka mwezi uishe
Ndio. Tarehe 2-5Kwahiyo mwezi ukibisha ndio unapokea gawio lao Kwa pesa uliyowekeza
Sawa kaka ngoja tuweke pesa naamini hawana Kona KonaNdio. Tarehe 2-5
Mkuu hawajamaa mbona siwasomi faida zero wakati siku ishapita na hapa ulisema Kila siku wanaweka faida au ni matapeliHapana . Nilazima iwepo Mpesa.
Siku imepita lini mkuu 🤣Mkuu hawajamaa mbona siwasomi faida zero wakati siku ishapita na hapa ulisema Kila siku wanaweka faida au ni matapeli
Mkuu pesa niliweka Jana saa tano asubuhi ila mpaka Sasa hawajaweka riba yeyote kama ulivyoeleza wewe hapo maana kupo 00Siku imepita lini mkuu 🤣
Leo weekiend mkuu, iache hiyo pesa hadi siku za kazi uangalie salio. Its better kuangalia mtiririko unavyooenda baada ya kupokea riba ya mwezi then ugawanye kwa siku hela yako ilovyokaa huko M wekeza .Mkuu pesa niliweka Jana saa tano asubuhi ila mpaka Sasa hawajaweka riba yeyote kama ulivyoeleza wewe hapo maana kupo 00
Mkuu weekend huwa hawaweki ribaLeo weekiend mkuu, iache hiyo pesa hadi siku za kazi uangalie salio. Its better kuangalia mtiririko unavyooenda baada ya kupokea riba ya mwezi then ugawanye kwa siku hela yako ilovyokaa huko M wekeza .
. Mkuu, Kwa hiyo Ukiwekeza Kamilioni Moja Mwisho wa Mwaka una Shilingi ñgapi, Kwa hiyo Asilimia 13 ?Bora nianzishe kausha damu ntajua nitakavyo pambana na BOTView attachment 3158002
Inawekwa siku za kazi. Huwa inahesabiwa na kuwekwa siku za kaziMkuu weekend huwa hawaweki riba
Sawa mkuuInawekwa siku za kazi. Huwa inahesabiwa na kuwekwa siku za kazi
Labda kama unawekeza hela ya ada ya watotoBora nianzishe kausha damu ntajua nitakavyo pambana na BOTView attachment 3158002
Ndio mkuu ni matapeli toa pesa yako na usiweke tena . Hili ndilo jibu ninaloweza kukupa 🤣Mzee hawa jamaa inaonekana matapeli tu ngoja nikatoe pesa zangu aisee umesema faida inakua inawekwa Kila siku ila mpaka Leo sikua ya nne account inasoma faida 0
Unahitaji elimu ya kutosha sana kuhusu uwekezaji. Wewe ni mgumu sana kuelewa mkuuKumbe ulikua unawapigia upatu matapeli Ili tutapeliwe aisee kumbe Kuna watu wanaroho mbaya sana humu au unalipwa mzee kutangaza wezi dah mungu kaniokoa nimesanuka mapema nishatoa pesa zangu zipo salama
Kampuni ya vodacom &Sanlam imeanzisha mfuko wa uwekezaji ambapo mwekezaji atapata faida 13% kwa mwaka .
M-wekeza ni huduma inayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada.
Wateja wote wa M-Pesa wanaweza kujiunga na kusajili Akaunti za M-wekeza na kuanza kuwekeza Unachotakiwa kufanya ni kupiga *150*00#>Huduma za Kifedha>M-wekeza.
M-wekeza ni huduma ya kidigitali inayorahisha uwekezaji kiganjani mwako bila gharama za ziada.
Pia kupitia M-Wekeza mteja anaweza kuwekeza Kiwango chochote na kupata faida mpaka 13% endapo atawekeza fedha zake kwa mwaka mzima na unaweza pata taarifa ya kifedha ya uwekezaji wako muda wowote kiganjani mwako.
MAELEZO YA KINA
M-WEKEZA ni huduma inayomuwezesha Mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada. M-WEKEZA inaweza kutumika na wateja wote wa M-Pesa wenye lengo la kuwekeza na kupata faida baada ya muda fulani. Kujiunga mteja utapiga *150*00# >Huduma za Kifedha>M-WEKEZA, faida za huduma hii M-WEKEZA ni huduma ya kidigitali inayorahisha uwekezaji kiganjani mwako bila gharama za ziada.
Pia kupitia M-Wekeza mteja anaweza kuwekeza Kiwango chochote na kupata faida mpaka 13% endapo atawekeza fedha zake kwa mwaka mzima na unaweza pata taarifa ya kifedha ya uwekezaji wako muda wowote kiganjani mwako.
Wateja wote wanaweza kufungua akaunti ya kuwekeza kwa ajili yako au kwa niaba ya rafiki mwenye namba ya Vodacom na mtumiaji wa M-Pesa. Hakuna makato yoyote ya mwezi au siku kwenye akaunti yako ya uwekezaji. Unaweza kuhamisha kiasi cha fedha au vipande kwenda kwenye akaunti nyingine ya rafiki bila makato ya ziada kupitia menyu ya M-WEKEZA. Fahamu kuwa wateja wote wana uwezo wa kupata taarifa ya kifedha muda wowote zinazoonesha , jumla ya pesa uliyowekeza, kiasi kilichopo ( Faida na Uwekezaji), taarifa za akaunti na kiasi kilichotoka na kuingia kwenye akaunti yako ya M-WEKEZA. Ahsante^JM
Hapana. Sio 13 costant ni mpaka 13% inamaana pia unaweza kuambulia 12%Hiyo 13% inakatwa kodi ya mapato?