M-sure....

Mi mdingi wangu ndo nilikua namuita mshua. Ila naona tofauti nilizokua sizifahamu hapa
 
M-sure maanake mtu wa uhakika yani...Hushindwi kusababisha kitu kitokee hasa katika mambo yanayohusiana na miundombinu ya kifedha.

Nadhani Baba zetu wanafit sana katika eneo hilo na ndio maana likazuka neno hili na lipo muda mrefu sana.

Simply mshua ni mtu mwenye uwezo ndio maana hata wale tunaowaita watoto wa kishua huwa inamaana watoto waliotoka kwa wazazi mwenye uwezo kifedha.
 
Back
Top Bottom