Sometimes utasikia 'jamaa mzungu sana'
yule m sure hana shida....
........ni yule dada yangu wa JF mkuu?Dada yako ana 24 ananiita bebi. Wazee wako mkoani kwenu....
Hiyo ya uzungu na uswahili huwa siielewi kabisa.
Huwa naiona ni ulimbukeni na ujinga fulani hivi.
Kwa sababu tabia za kishenzi hazijalishi rangi ya ngozi lakini huku kwenye jamii yetu tunazihusisha tabia za kistaarabu na uzungu na zile za kishenzi na uswahili.
Ni jamii ya ajabu sana sisi.
Sio culture mkuu? Kuna western culture na culture zetu huku. Western culture ndio mambo ya kizungu.Hiyo ya uzungu na uswahili huwa siielewi kabisa.
Huwa naiona ni ulimbukeni na ujinga fulani hivi.
Kwa sababu tabia za kishenzi hazijalishi rangi ya ngozi lakini huku kwenye jamii yetu tunazihusisha tabia za kistaarabu na uzungu na zile za kishenzi na uswahili.
Ni jamii ya ajabu sana sisi.
Mazee...hujawahi kuona au kusikia watu wakihusisha tabia za kifitini, usabasi, umbea, na kadhalika na mambo ya Kiswahili?Sio culture mkuu? Kuna western culture na culture zetu huku. Western culture ndio mambo ya kizungu.
Ni kweli vitu vya ajabu ajabu vinahusishwa na uswahili kama anaechelewa anaitwa mswahili etc.Mazee...hujawahi kuona au kusikia watu wakihusisha tabia za kifitini, usabasi, umbea, na kadhalika na mambo ya Kiswahili?
Utasikia...'flani ana mambo ya Kiswahili' kisa tu labda anaonekana ni mmbea?
Sasa hizo tabia ni culture specific kweli?
Mbona hata Wazungu wanazo?
Tena wao ndo wame-normalize kabisa hayo mambo hadi yapo kwenye magazeti na kwenye runinga na kwingineko.
Hujawahi kuona Wazungu wakisutana?
Hujawahi kuona Wazungu wakitetana?
Wanasema tembea ujionee.
Ni kweli vitu vya ajabu ajabu vinahusishwa na uswahili kama anaechelewa anaitwa mswahili etc.
May be the real waswahili wana hayo mambo while wabara hawana?!
Mazee...just be observant na utagundua kuwa nyingi ya hizo tabia ni za kibinadamu zaidi na si kijiografia.
Hata wazungu wapo wengi tu ambao hata iweje wao watachelewa tu popote pale waendapo.
Fanya kazi na wazungu halafu jaribu kuwa observant uone....utagundua mengi mno ya kitabia ambayo hata huku kwetu yapo.
Hata huko Usukumani wambea na wafitini wapo wengi tu mbona.
Nina dingi yangu mdogo mmoja hivi...jamaa ni mzushi na mchonganishi balaa.
Huyo naye sijui ni mswahili ama vipi....
Unabyoshikia bango utafikiri ushaniona nae.
Well...uko sahihi but why hizi tabia za kibinadamu zikaitwa uswahili na si uafrika au usukuma.Mazee...just be observant na utagundua kuwa nyingi ya hizo tabia ni za kibinadamu zaidi na si kijiografia.
Hata wazungu wapo wengi tu ambao hata iweje wao watachelewa tu popote pale waendapo.
Fanya kazi na wazungu halafu jaribu kuwa observant uone....utagundua mengi mno ya kitabia ambayo hata huku kwetu yapo.
Hata huko Usukumani wambea na wafitini wapo wengi tu mbona.
Nina dingi yangu mdogo mmoja hivi...jamaa ni mzushi na mchonganishi balaa.
Huyo naye sijui ni mswahili ama vipi....
Kujua chanzo halisi mara nyingi huwa ni vigumu sana.Well...uko sahihi but why hizi tabia za kibinadamu zikaitwa uswahili na si uafrika au usukuma.