M-Pesa sio salama

Kunatakiwa angalau kuwepo na mfumo wa kuzuia kutoa pesa mara tu uipokeapo kwa angalau dakika 10, ili kuwezesha mtumaji kama amekosea aweze kuwasiliana huduma kwa wateja na pesa irudishwe
POINT
 
mechanism itatutwe kuhakikisha mtu akitumiwa hela asiyoifahamu ataogopa kuitoa na siyo kuishia kusema tu uzembe ni wa mtumaji case close;. Huo ni ufinyu wa kuona mbali
 
Walichoniambia MPESA nimwombe mwizi arudishe hela zangu na ameamua kukaa kimya.
Jina la mwizi ni SAMWELI DEU MWENYE NAMBA 0759548421 na anaolafudhi ya kisukuma yet wanajidai hawawezi kumpata
Kumpata inawezekana lakini lakini hakuna umuhimu; kwani alikuibia au ulimtumia wewe mwenyewe?
 
HAKIKISHA NAMBA YA UNAE MTUMIA PESA KABLA HUJA RUHUSU MUAMALA..
Unajua siku hela ikiamua kupotea inapotea tu...mimi kuna siku nimekosea namba moja tu ya mwisho ya mtu niliyetaka kumtumia ila cha ajabu majina yote mawili yakatoka sawa kabisa...
Baada kutuma sikuamini nilichoona..sema bahati namba yenyewe haikuwa hewani hivyo nilirudishiwa..
 
Mbona kuna mahala kwenye mpesa menu unaweza zuia muamala wowote uliofanyika ndani ya muda mfupi..

Dkk kumi ni nyingi mno unawapa lawama za bure kabisa
 
Huyo ni mwizi na M- pesa sio salama kwa sasa kipindi cha nyuma ilikua ukitoa taarifa kwa tukio kama hilo jamaa hela yoyote ikiingia kwenye A/c yake inatolewa na kwenda alikoiba toka TCRA walipoanza kuwabana wao wakaanza kuwalegezea wezi na ndio maana unaona kuna ugumu kumbe kwa wewe kupata pesa ilikua rahisi mno...
 
Kabisa mi nawatetea
 
Wewe ulishatumia paypal kununua bidhaa nje kokote duniani na ukatuma hela na muuzaji akaingia mitini? paypal wanakuwa responsible kumtafuta mwizi na hela zako unarudishiwa
Hiyo sawa mzigo wako haujakufikia kwa hii case ya Mpesa kwa aliyemtumia pesa hizo pesa zimemfikia na amezitoa .Case closed
 
Kunatakiwa angalau kuwepo na mfumo wa kuzuia kutoa pesa mara tu uipokeapo kwa angalau dakika 10, ili kuwezesha mtumaji kama amekosea aweze kuwasiliana huduma kwa wateja na pesa irudishwe
Hii ndo point. At least 15 mnts.
 
Kumpata inawezekana lakini lakini hakuna umuhimu; kwani alikuibia au ulimtumia wewe mwenyewe?
Kama hizi ndizo comments za watanzania walio wengi basi niamini tu nchi inakokwenda ni gizani kuliko tuliko toka.
 
hili wazo liko vyema
Hasa unawekaje withdrawal code wakati wengine wanalipwa kwa M-PESA na wanaitunza humo, siku ya kudraw hela ilotoka kwa watu zaid ya 10 itakuwaje?? Nani wa kuzikumbuka kodi hizo? This is not applicable at all
 
Vodacom wapuuzi sana. Wameshindwa hata kuweka withdraw code ambazo angekuwa anatumiwa anayetuma pesa naye anamtumia aliyemtumia pesa kwa msg ya kawaida.
Upuuzi na ujinga sana
Hasa unawekaje withdrawal code wakati wengine wanalipwa kwa M-PESA na wanaitunza humo, siku ya kudraw hela ilotoka kwa watu zaid ya 10 itakuwaje?? Nani wa kuzikumbuka kodi hizo? This is not applicable at all
 
Wanachoweza kufanya nikuizuia hiyo hela kama uliyemtumia hajaitoa ila akishatoa inakuwa issue ya polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…