M-Pesa & MasterCard ina matatizo?

Mangungo II

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
18,021
26,337
Kwa wateja wa hii huduma he mnakumbana na tatizo la transactions kulipia huduma za mtandao .

Mimi kwangu Ina goma kila wakati haiwezi lipo tatizo sijui ni nini? na Voda wamekaa kimya

Nilifuta kadi nikatengeneza ingine lakini Tatizo liko vile vile

Je, wamesitisha huduma hii?

Je, Kuna tatizo la kiufundi?

Jaribu na wewe utupe mrejesho?
 
Hujatoa maelezo yakutosha.. inagoma kwenye mtandao/website ipi..??
 
Nataka kwangu nimejaribu site zote inakataa

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hizo site hazina majina na ikigoma husemi inaandikaje.. na sijui Kama umeshawauliza site husika kama wanaruhusu MasterCard ya mpesa!.. Sasa sijui utasaidiwa vipi.

Hebu tulia uandike vizuri acha mikato. Moja ya sehemu ya kutatua tatizo ni kulielezea vizuri.. Sasa we unaandika jaribu!!!!.. what if mtu hana mpango wa kununua kitu kwa wakati huu..?😅
 
Naona hizo site hazina majina na ikigoma husemi inaandikaje.. na sijui Kama umeshawauliza site husika kama wanaruhusu MasterCard ya mpesa!.. Sasa sijui utasaidiwa vipi.

Hebu tulia uandike vizuri acha mikato. Moja ya sehemu ya kutatua tatizo ni kulielezea vizuri.. Sasa we unaandika jaribu!!!!.. what if mtu hana mpango wa kununua kitu kwa wakati huu..?
Wewe elewa site zote za kulipia online

Tatizo liko kwenye kadi husika maana haiwezekani hizo site zote zigome
 
Design hawako serious vile.

Pesa yangu ishakwamaga huko mara mbili kurudisha kwenye m-pesa inagoma for three days. Haka kamfumo sijui kanawashinda.
 
Kwa wateja wa hii huduma he mnakumbana na tatizo la transactions kulipia huduma za mtandao .

Mimi kwangu Ina goma kila wakati haiwezi lipo tatizo sijui ni nini? na Voda wamekaa kimya

Nilifuta kadi nikatengeneza ingine lakini Tatizo liko vile vile

Je, wamesitisha huduma hii?

Je, Kuna tatizo la kiufundi?

Jaribu na wewe utupe mrejesho?
jana tu nimetoka kutumia m pesa master card mbona iko fresh haina tatizo
 
Back
Top Bottom