M-Pesa & MasterCard ina matatizo?

Mbona mimi sijawahi Pata hili tatizo? Refund na kutoa hela baina ya Mpesa na card inakubali tu.

Wanachoniboa sasa hivi ni hio 4% fee, ina scale vibaya mno, milioni ujue ni 40,000 hio plus kodi za serikali, shipping fees, na gharama nyengine za ajabu ajabu mwisho wa siku kitu cha 40,000 kina kuwa 80,000
Hapo ndo panaponiumiza Mimi kwakweli, yaani nimelipia simu thamani yake mpaka shipping cost jumla 350,000 tu Ila Airtel master card wamenikata 25,000 mzima Bora kulipia kwa yuan tu
 
Hapo ndo panaponiumiza Mimi kwakweli, yaani nimelipia simu thamani yake mpaka shipping cost jumla 350,000 tu Ila Airtel master card wamenikata 25,000 mzima Bora kulipia kwa yuan tu
Una ushahidi wa Hili mkuu? Natumia Airtel master card ila siku nyingi sijachunguza Makato, si walikuwa wanakata kama asilimia 2 ama 3?
 
Mimi nilikutana na tatizo kama hilo, nikawasiliana nao Vodacom kupitia WhatsApp, nikawaeleza na kuwatumia details zangu ndani ya masaa 72 tatizo likaisha sasa hivi naendelea kuitumia kama kawaida.

Nakushauri Wasiliana nao Vodacom kwa njia ya WhatsApp uwatumie details.
Hongera mimi hadi Leo hawajanirudishia hel.... Na muda wamenipoteza na bado napewa jibu kuwa mbona nahangaika na hela ndogo $30. Kama Kuna uwezekano wa malipo kurudi sikushauri utumie njia hii. Ni ngumu kupata hela yako kama malipo yako yamerudi....
 
Back
Top Bottom