M-Pesa & MasterCard ina matatizo?

Kwa wateja wa hii huduma he mnakumbana na tatizo la transactions kulipia huduma za mtandao .

Mimi kwangu Ina goma kila wakati haiwezi lipo tatizo sijui ni nini? na Voda wamekaa kimya

Nilifuta kadi nikatengeneza ingine lakini Tatizo liko vile vile

Je, wamesitisha huduma hii?

Je, Kuna tatizo la kiufundi?

Jaribu na wewe utupe mrejesho?
Nimetumia jana iko poa
Ukiona inakusumbua ujue kuna sehemu unakosea kujaza
 
Nikweli kuna tatizo.
Hata mimi juzi usiku nilifanya transactions kulipia huduma online ikagoma,

Nikahisi tatizo la card, nikajaribu kuhamisha pesa kuzirudisha MPESA ila zikapotelea hewani,
Yaani kwenye Mastercard zilitoka na kwenye Mpesa hazikufika.

Niliwapigia customer care wakasema kuna tatizo la kimtandao na ni wateja wengi limewakumba hilo tatizo, hivyo wakaniomba nitulie baada ya siku tatu hela itarudi yenyewe kwenye Acc.
Habari mkuu nilipatwa na tatizo Kama hili ila pesa kwangu haijarudi Leo siku ya tano, vipi ya kwako ilirudi?
 
Kwa wateja wa hii huduma he mnakumbana na tatizo la transactions kulipia huduma za mtandao .

Mimi kwangu Ina goma kila wakati haiwezi lipo tatizo sijui ni nini? na Voda wamekaa kimya

Nilifuta kadi nikatengeneza ingine lakini Tatizo liko vile vile

Je, wamesitisha huduma hii?

Je, Kuna tatizo la kiufundi?

Jaribu na wewe utupe mrejesho?
Mimi nilikutana na tatizo kama hilo, nikawasiliana nao Vodacom kupitia WhatsApp, nikawaeleza na kuwatumia details zangu ndani ya masaa 72 tatizo likaisha sasa hivi naendelea kuitumia kama kawaida.

Nakushauri Wasiliana nao Vodacom kwa njia ya WhatsApp uwatumie details.
 
Kwa wateja wa hii huduma he mnakumbana na tatizo la transactions kulipia huduma za mtandao .

Mimi kwangu Ina goma kila wakati haiwezi lipo tatizo sijui ni nini? na Voda wamekaa kimya

Nilifuta kadi nikatengeneza ingine lakini Tatizo liko vile vile

Je, wamesitisha huduma hii?

Je, Kuna tatizo la kiufundi?

Jaribu na wewe utupe mrejesho?
KIUKWELI WANA SHIDA, HATA UKIWAPIGIA WANATOA MAELEKEZO YALE YALE YALIYOSHINDIKANA. IKISHAEXPIRE TU KURENEW NI KAZI KWELI KWELI.
 
Nikweli kuna tatizo.
Hata mimi juzi usiku nilifanya transactions kulipia huduma online ikagoma,

Nikahisi tatizo la card, nikajaribu kuhamisha pesa kuzirudisha MPESA ila zikapotelea hewani,
Yaani kwenye Mastercard zilitoka na kwenye Mpesa hazikufika.

Niliwapigia customer care wakasema kuna tatizo la kimtandao na ni wateja wengi limewakumba hilo tatizo, hivyo wakaniomba nitulie baada ya siku tatu hela itarudi yenyewe kwenye Acc.
Ni wiki ya tatu sasa, Nilitoa hela toka kwenye card kuja mpesa lakini haikufika nimesha wasiliana nao mara kibao hawatatui tatizo. Hela ilishatoka Mpesa Mastercard, ila kwenye mpesa acc haijafika.
 
Hata Mimi mkuu nilipata shida hiyo leo Ni siku ya 7,nikiwapgia wanambia kuwa mvumilivu, mara Kuna watalaam kutoka nchi za nje ndo tunawasubiri waje kughulikia tatizo yaani ahadi Kila siku.
 
Sijui tuwafungulie Kesi ya wizi, Mana huu ni wizi wa waziwazi
 
Ni wiki ya tatu sasa, Nilitoa hela toka kwenye card kuja mpesa lakini haikufika nimesha wasiliana nao mara kibao hawatatui tatizo. Hela ilishatoka Mpesa Mastercard, ila kwenye mpesa acc haijafika.
yamenikuta mkuu vipi ilirudi iyo hela mana wameshachukua 85000 yangu dah
 
Haya ma card yao bana yanataka uweke hela na kuifanyia manunuzi/malipo online.......BASI

Lakini linapokuja swala la kupokea hela au kutoa/withdraw kwenye kadi....... hakuna rangi utaacha kuiona

Mfano ukitumiwa hela/refund kuingia kwenye kadi ni kipengele
Na ukiwa na hela kwenye kadi utake kuitoa/withdraw ni kipengele pia
 
Mbona mimi sijawahi Pata hili tatizo? Refund na kutoa hela baina ya Mpesa na card inakubali tu.

Wanachoniboa sasa hivi ni hio 4% fee, ina scale vibaya mno, milioni ujue ni 40,000 hio plus kodi za serikali, shipping fees, na gharama nyengine za ajabu ajabu mwisho wa siku kitu cha 40,000 kina kuwa 80,000
 
Mkuu nilitumia Mpesa Mastercard sijawahi kupata tatizo la kulipia hata siku moja
Tatizo lilianza pale manunuzi yalipofeli na nikafanyiwa refund
Pesa ikawa haiingii kwenye kadi..... dola zangu 378 zikataka kuyayuka......wahuska wakanambia kadi yangu ina reject kupokea hela

Nikaona isiwe tabu ngoja zilizobaki kwenye kadi nizitoe kwa mpesa.....ilinichukua muda kuja kuzipata, ilibidi nisubiri hadi nitoke mkoa nikaenda Hq yao ndio kuja kuzipata hela

Labda kama siku hizi wameboresha
siku hizi natumia kadi za bank tu

Hapo kwenye makato ndio balaa
Unaona kabisa hii huduma sio rafiki kabisa kwenye nchi zetu
Nina jaama yangu alikua usa alikua anakuja sana bongo nilikuanamtumia yeye anapokea kwa address yake kisha akija bongo ananiletea...... tatizo hapo ni muda tu
 
Mbona mimi sijawahi Pata hili tatizo? Refund na kutoa hela baina ya Mpesa na card inakubali tu.

Wanachoniboa sasa hivi ni hio 4% fee, ina scale vibaya mno, milioni ujue ni 40,000 hio plus kodi za serikali, shipping fees, na gharama nyengine za ajabu ajabu mwisho wa siku kitu cha 40,000 kina kuwa 80,000
yan kwa upande wangu ni kwamba naweka ela nilipie matangazo km kawaida sasa kwa mfumo wa vodacom ni lazima uzitoe pesa kutoa m pesa to master card nikatoa 85000 ili nilipie matangazo yawake tena cha ajabu m pesa ela imetolewa ila master card haijaingia so ipo ewan master haipo na m pesa haipo nimewacheki viswahili vingi eti baada ya siku 8 nikaamua ntumie airtel mana wao ukiweka katika airtel money ndoo master card so hakunakuamisha tena ndo nikalipia tenaso ni km 85000 yangu wanayo voda natamani hata ningekua na namba ya magufuli nimpigie mana ni wizi haiwezekan ipite wiki wakati hela aijatumika popote vodacom wezi huu ni wizi kabisa
 
yamenikuta mkuu vipi ilirudi iyo hela mana wameshachukua 85000 yangu dah
Irudi wapi, Niliamua kuachana nao mana Nawasiliana nao kila mara wananitumia ujumbe tatizo limetatuliwa ila nikiangalia salio halionekani. Hiyo ni hela nyingi mkuu, Komaa nao ikiwezekana Nenda onana na Meneja wao na waambiae utawachukulia hatua.. la sivyo inapotea mkuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom