Pundamilia07,
Ina maana kama kungekuwa na jibu la hoja zake Mwenyekiti au wajumbe wangesherehesha lakini kama ilivyoandikwa hoja zote za Lwakatare ni simulizi ama vile alivyoambiwa na watu fulani.. Hakuna mtu ndani ya CUF anakubali kusimama na kutoa shutuma hizo dhidi ya Lwakatare wala kusimamisha madai hayo kama mshuhuda..Kifupi Lwakatare kisha tafutiwa FITNA, and he has to go!.. katika siasa za fitna siku zote hakuna masimulizi wala explanations.. watu hawawezi kukutazama machoni, Ukianzisha tu watu hugeuza shingo zao wakaondoka.. life goes on!
Mkuu siasa za Bongo ndio hizo.. Lwakatare hawezi kujisafisha ikiwa hakuna madai ya tuhuma hizo wazi. Alichokifanya ni kuwasilisha tuhuma hizo kama zilivyotoka na kama umesoma vizuri hotuba zote zimekuwa zikimlenga Mh. Mwenyekiti na wajumbe waliohudhuria kupata jibu japo ufafanuzi..Je, kwanini Mh Lwakatare hajisafishi katika tuhuma ambazo aliambiwa kuwa alifanya ubadhirifu wa fedha ya chama?
Kukaa kimya maana tutaelewa kuwa tuhuma zilikuwa ni za kweli.