ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,017
- 7,220
Hivi ukivaa chupi iliyotoboka watu barabarani watajuaje?
CCM ina migogoro, tena siyo myepese. Ila tofauti ya CCM na hivi vyama ''vya upinzani'' ni kwamba hivi vyama havijui siri ya kuvaa chupi iliyotoboka. Wanavaa chupi iliyotoboka halafu wanaanza kujitetea, oooh hili tundu ndio mtindo wake! tusingejua kama kuna tundu iwapo msingeliweka hadharani.
Tumeshachoshwa na migogoro sasa, ''vyama vya upinzani'' migogoro yenu ongeeni kwenye vikao vyenu, mkija hadharani tujadili mikakati ya kuendeleza umma.