mliofunga mmeamua kukaa na njaa bure tu,lwakatare anajua alichokua akikifanya,anawashindisha na njaa bila sababu!
Kumbe kwenye huu uzi kuna halimu wa Lwakatare? Amesha toa hukumu tayari!!!! Yaelekea ni mmoja wapo wa walioitengeneza ile Video!!!!
mliofunga mmeamua kukaa na njaa bure tu,lwakatare anajua alichokua akikifanya,anawashindisha na njaa bila sababu!
There are currently 615 users browsing this thread. (139 members and 476 guests)
we kweli kalabagahokama Mtu ana hamu ya Lupata habari za kuachiwa huru kwa muuaji basi huyo kichwani hayuko vizuri. Samahani lakini!
Majitu mengine bana hili sijui limefufukia wapi hivi ubongo wako umejaa maji eeh unashindwa kuufikirisha mkuu.
Yaani Mungu ameanza kuwaumbua lakini bado hamuoni tuu?? Mnatakaje? Mungu wa ukweli ameshaanza kuwaumbua Watesaji watu wasio na hatia na bado mtaumbuliwa sana!
akinyongwa utapata faida gani?
Mkuu, Rais Kikwete anahusika vipi na maamuzi ya mahakama. Mimi nilifikiri mahakama ni taasisi kati ya taasisi tatu zinazojitegemea nchini (Mahakama, bunge na serikali)Kikwete ataiacha hii nchi kwenye mpasuko mkubwa sana! Hapa anataka ku-polarise Waislam wenzie waandamane incase Lwakatare anapewa dhamana!