Independent Voter
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 279
- 71
mliofunga mmeamua kukaa na njaa bure tu,lwakatare anajua alichokua akikifanya,anawashindisha na njaa bila sababu!
Wewe unahangaika sana nakuona toka filamu hii fake ianze haulali, umekazania Mbowe na Slaa walimtuma wakati hata huyo mtumwa mmeshindwa kumshitaki. Nyie subirini mlikolalia wengine walishaamka zamani.hivi ni nani alimtuma lwakatare kupanga mikakati ya kuwalwakatare na kuwasilence waandishi wanaoonekana kuipa changamoto chadema?!!ni mbowe ama slaa binafsi au kamati kuu ya chadema kwa baraka za mkutano mkuu au ni utashi wake binafsi tu?anaejua atujuze na je haiwezekani lwakatare akawa anatumika kwa malipo flani kuiangamiza chadema?
Siku zote kazi ya ukombozi anayoifanyia nchi hii itakumbukwa. Mpaka sasa nahisi ccm iliweka makubaliano makubwa na CUF kabla ya kumnyanganya vyeo vyake.
Acha kutoka mapovu!hivi ni nani alimtuma lwakatare kupanga mikakati ya kuwalwakatare na kuwasilence waandishi wanaoonekana kuipa changamoto chadema?!!ni mbowe ama slaa binafsi au kamati kuu ya chadema kwa baraka za mkutano mkuu au ni utashi wake binafsi tu?anaejua atujuze na je haiwezekani lwakatare akawa anatumika kwa malipo flani kuiangamiza chadema?
Soma kule kwenye main post. Kuna updates.hii kesi ingukuwa Arusha basi tungepata update za kumwaga, Dar hakuna CDM, Tusubiri jamaa wafike kutoka Arusha ndio tupate updates.
hivi ni nani alimtuma lwakatare kupanga mikakati ya kuwalwakatare na kuwasilence waandishi wanaoonekana kuipa changamoto chadema?!!ni mbowe ama slaa binafsi au kamati kuu ya chadema kwa baraka za mkutano mkuu au ni utashi wake binafsi tu?anaejua atujuze na je haiwezekani lwakatare akawa anatumika kwa malipo flani kuiangamiza chadema?
Soma kule kwenye main post. Kuna updates.
Leo vijana wameamua kuendelea na kazi zao za kujitafutia kipato na kuachana na ulaghai wa kuwekwa kwenye jua na wanasiasa bila sababu ya msingi kwa manufaa binafsi ya wanasiasa. Ndio maana hakuna updates...