Lwakatare, Ludovick wafikishwa mahakamani Kisutu

mliofunga mmeamua kukaa na njaa bure tu,lwakatare anajua alichokua akikifanya,anawashindisha na njaa bila sababu!

Kumbe kwenye huu uzi kuna halimu wa Lwakatare? Amesha toa hukumu tayari!!!! Yaelekea ni mmoja wapo wa walioitengeneza ile Video!!!!
 
There are currently 615 users browsing this thread. (139 members and 476 guests)
 
There are currently 615 users browsing this thread. (139 members and 476 guests)

guest niwengi sana, atakosa ramadhani ighodu hapo kweli?? naona hata kova yumo humo anawait mtu atupie tena kipicha hata kisaini cha chenye mkono wa lwakatale, kova atakimbia nacho mahakamani now kama ushahidi mwingine.....Siamini kama Said mwema na akili zote hizi anakubali ushemeji umuharibie sifa zake za interpol
 
HAKUNA HATA 1 ALIYEKUWEPO ENEO LA TUKIO AU MWENYE INFORMATION ZOZOTE?

There are currently 631 users browsing this thread. (141 members and 490 guests)
 
Wenye akili tunajua kuwa CHADEMA na LWEKATARE wanaonewa,na mimi huwa naamini kuwa hakuna Marefu yasiyo na ncha,hii CCM itaondoka tu madarakani muda si mrefu!
 
Jamani mpaka saa 6.30 hii kimya, namna gani JF au huyo Lwakatare zamu yake haijafikia?
 
Majitu mengine bana hili sijui limefufukia wapi hivi ubongo wako umejaa maji eeh unashindwa kuufikirisha mkuu.

Nafuu ungejaa maji,
Wa huyu jamaa umejaa ile kitu inayotoka kwenye masaburi.
Per-diem za Lumumba zinawapumbaza sana vijana, anyway, ndio ajira zenyewe hizo.
 
Leo ni mchezo wa ticktack. Mtetezi wa rasilimali za waislamu ananyimwa dhamana lakini muuaji wa Watanzania kwa nembo ya chama apewe dhamana. Huo moto utawakaje?
 
Kikwete ataiacha hii nchi kwenye mpasuko mkubwa sana! Hapa anataka ku-polarise Waislam wenzie waandamane incase Lwakatare anapewa dhamana!
 
Yaani Mungu ameanza kuwaumbua lakini bado hamuoni tuu?? Mnatakaje? Mungu wa ukweli ameshaanza kuwaumbua Watesaji watu wasio na hatia na bado mtaumbuliwa sana!

jina lako tu ni la kiccm then fikra zako ni za kiccm,uwezo wa kuchambua mambo ni wa kiccm. Na kwa kuwa maccm ni vichwa maji ww je? Kajipange upya.
 
akinyongwa utapata faida gani?

Usipoteze muda kwa watu wenye marengo ya kuwahamisha watu toka kwenye mada kuu pamoja na kutafuta umaarufu wa kupewa posho Lumumba. Si unakumbuka fastjet ameshawaambia wawe kama Nchemba wasikae kimya?
 
Mwalimu JuliusK.Nyerere amka ututetee wa Tz yule kijana uliyemkataa 1995 ameanza kuua kwa manufaa yake na mafisadi
 
Kikwete ataiacha hii nchi kwenye mpasuko mkubwa sana! Hapa anataka ku-polarise Waislam wenzie waandamane incase Lwakatare anapewa dhamana!
Mkuu, Rais Kikwete anahusika vipi na maamuzi ya mahakama. Mimi nilifikiri mahakama ni taasisi kati ya taasisi tatu zinazojitegemea nchini (Mahakama, bunge na serikali)
 
There are currently 745 users browsing this thread. (162 members and 583 guests) Shughuli inaendelea, hakuna kufunga goli la mkono hapa!!
 
Wakuu,

Kuna uwezekano Lwakatare akabambikiwa makosa ya ugaidi na kupelekea kunyimwa dhamana. Nitawapa updates soon. Nipo mahakamani
 
Back
Top Bottom