ni mtu asiye na uelewa anaweza kutofahamu uhusiano kati ya Kikwete na IGP na CJ na Mkuu wa UWT! Hizi taasisi zoote zinafanya kazi kwa shinikizo la kisiasa na kuendekeza itikadi za udini!Mkuu, Rais Kikwete anahusika vipi na maamuzi ya mahakama. Mimi nilifikiri mahakama ni taasisi kati ya taasisi tatu zinazojitegemea nchini (Mahakama, bunge na serikali)
Ngoja tuone filamu:muuaji atakavyopewe dhamana,lakini ponda aendelee kunyimwa dhamana...hiyo ndio tz bwana!
bolded;you thought wrong kwa tanzania hiyo mihimili mitatu yote ni kitu kimoja,kinadharia inaonekana inajitegemeaMkuu, Rais Kikwete anahusika vipi na maamuzi ya mahakama. Mimi nilifikiri mahakama ni taasisi kati ya taasisi tatu zinazojitegemea nchini (Mahakama, bunge na serikali)
1. Mahakama huru?. Hakuna mtu atakuwa huru kwa kupewa nafasi au cheo cha UPENDELEO bila sifa.Mkuu, Rais Kikwete anahusika vipi na maamuzi ya mahakama. Mimi nilifikiri mahakama ni taasisi kati ya taasisi tatu zinazojitegemea nchini (Mahakama, bunge na serikali)
Wakuu,
Kuna uwezekano Lwakatare akabambikiwa makosa ya ugaidi na kupelekea kunyimwa dhamana. Nitawapa updates soon. Nipo mahakamani
There are currently 745 users browsing this thread. (162 members and 583 guests) Shughuli inaendelea, hakuna kufunga goli la mkono hapa!!
Kama unavyosema, Kukuuliza ni ishara tosha inadhihirisha sielewi mahusiano yao kwa mtazamo huu wa hisia ulionieleza.ni mtu asiye na uelewa anaweza kutofahamu uhusiano kati ya Kikwete na IGP na CJ na Mkuu wa UWT! Woote wana itikadi moja nayo ni kufanya kazi kwa kisiasa na kuendekeza udini!
kuunganishwa na ponda ni dalili za kumnyima dhamana lwakatare
hivi,hii kesi na bunge huru wapi na wapi jamani?mara sijui imejiongezea nini,kha...?1. Mahakama huru?. Hakuna mtu atakuwa huru kwa kupewa nafasi au cheo cha UPENDELEO bila sifa.
2.Bunge Huru?. Bunge lipi ambalo linaendeshwa kwa matakwa ya kundi la watu fulani.
3.Serikali Huru, hapo sawa maana haiwasikilizi wananchi na imejiongezea madaraka ya juu zaidi ya hiyo mihimili miwili ya mwanzo.
Lwakatare ameweka mikono mfukoni hapa....!!
update hiyo.