Dah, hii ni ushahidi tosha kuwa Nchi hii watu wengi hawana kazi.
kwani tatizo ni nini?
Kaanze upya hapo umebugi men. Nenda Bukoba ukapate clips za kujazia kwenye video zako fekinawashauri wana bukoba mchukue tahadhari ya kutosha juu ya maisha yenu, huyu mtu haaminiki
weka mbali na binadamu