Lwakatare atapokelewa kama mfalme Bukoba mjini.

lovey62

Senior Member
Apr 13, 2013
132
111
Tukiwa hapa mjini Bukoba, vijana kwa wazee,makamanda kwa makada wakiwa katika shamrashamra za kumpokea Kamanda Wilfred Lwakatare aka Engaju. Watu wameanza kuelekea viwanja vya ndege kimakundi, ikitarajiwa Lwakatare atafika saa saba mchana wa leo.

-------------------------------

attachment.php


attachment.php


attachment.php
 
Angalieni msije kulipuliwa maana bado hawajakipata walichokipanga
 
Tunawatakieni kila la kheri,pongezi kwake kamanda Lwakatare.
 
Watu wa bukoba chaguo lao ni kagasheki haijalishi mapokezi gani yataandaliwa
 
Kwa muda huu Rwakatale akisubiliwa kutua uwanja wa ndege Bukoba akitokea Mwanza, watu wamejaa shangwe zinaendelea watu wanasherekea.............zifuatazo ni picha ya kinachojiri..............Nitaendelea kuwaahabarisha kwa kitakachotokea. Naomba wenye video kamera wachukue kila tukio na watu waliopo hapo in case anything happens.....tusihangaike sana.
 
Mpokeeni na mumuombee ccm sasa chama hatari mungu amuepushe na hatari zote anaweza akapakaziwa kabaka jera miaka 30
 
Pamoja kamanda message sent, propaganda. Zimefail, hawana. Jipya, wapo kete ya mwisho. Na hivi chama chao kina makundi! Watajuta 2015
 
nawashauri wana bukoba mchukue tahadhari ya kutosha juu ya maisha yenu, huyu mtu haaminiki
 
gaidi linaenda kujificha kwake baada ya kukamilisha mipango ya kulipua kule arusha. wana bukoba kaeni chonjo
 
Mods acheni onevu mbona Lwakatale akiwa mahakamani habari inabaki jukwaa la siasa ila katoka tu inakuwa Mchanganyiko?
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom