Mzee unaushaidi..?Dah, hii ni ushahidi tosha kuwa Nchi hii watu wengi hawana kazi.
picha za rwakatare alipowasili pamoja na kamanda mawazo.
hongera sanaa kaka
pamoja kamanda
naona askari wametulia hapo
mungu awatie nguvu kamanda
Hajamzidi Kikwete Kinana Nape Mwigulu Nchimbi Wassira,Chagonja,Mwema,Lukuvi,ZoKa,Ramadhani Inghondu hawa wana certificate za ugaidi huyo cha mtoto bwana
cheza mbali na gaidi. hata kama kwao hulipua tu
User name yako tu inaeleza kila kitu
Leo hii ikiwa wanabukoba wamejitayarisha kumlaki Shujaa kamanda W.Lwakatare kama mfalme,yakiwa mapokezi ambayo yataacha historia barani Africa.changamoto zimekuwa zikijitokeza;
1.Leo saa tano asubuhi Lwakatare amepewa taarifa za kukosa ndege ya kumvusha kutoka Mwanza mpaka Bukoba.lakini mwanaume huyu shujaa hajakata tamaa,anakuja kwa gari.
2.Hapa JF,wamekuwa wakihujumu post zenye updates za maandamano ya kumpokea Lwakatare.
TAARIFA KWA WAHUJUMU WOTE:
mlishindwa,mnashindwa na mtashindwa kwani tunaye Mungu.
Dah, hii ni ushahidi tosha kuwa Nchi hii watu wengi hawana kazi.
leo hii ikiwa wanabukoba wamejitayarisha kumlaki shujaa kamanda w.lwakatare kama mfalme,yakiwa mapokezi ambayo yataacha historia barani africa.changamoto zimekuwa zikijitokeza;
1.leo saa tano asubuhi lwakatare amepewa taarifa za kukosa ndege ya kumvusha kutoka mwanza mpaka bukoba.lakini mwanaume huyu shujaa hajakata tamaa,anakuja kwa gari.
2.hapa jf,wamekuwa wakihujumu post zenye updates za maandamano ya kumpokea lwakatare.
Taarifa kwa wahujumu wote:
Mlishindwa,mnashindwa na mtashindwa kwani tunaye mungu.
nimeshangaa sana leo na maamuzi ya mods
Watu hawana kazi.
Ukiona mhalifu anapokewa kama Mfalme, halafu mtawala analazimishiwa na kukodishiwa watu wa kwenda kumpokea na kumsikiliza basi jiulize mara mbili, ukiwa na akili ujue huyo anayeitwa mhalifu ndiye mfalme ajaye.kumbe siku hizi mtu akifanya uharifu anapokelewa kama mfalme watanzania wanamambo.