Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

Subirini hukumu na bado na ile kesi ya uchochezi ya padri na DJ wanaenda jela
 
lakini hivi zitto kweli aliiamini ile video mpaka aseme lwakatare ajiuzuru? No, labda kama alikuwa na plan B.
Mkuu Mponjori ZK ni mtu wa ndimu mbili sana huyo dogo, ipo siku ataumbuka kweupe, kila siku anajichanganya...mara ooh mara eee, mchukulie kama alivyo!
 
Last edited by a moderator:
Maskini mnajitahidi hivyohivyo ili mradi msije kosa posho ya leo......limewashukaje leo'

Si unawajua hawa ni wazee wa liwalo na liwe? Hata hasomi baada ya kuandika ili ajihurumie kwa kukosa hoja anakimbilia tu kupost anaikimbiza buku 7 lumumba
 
CCM imebuma!

Kwani ni CCM au ni Mwigulu? Ukisoma gazeti la Dira ya Mtanzania la tarehe 6-12 Mei 2013 ukurasa kwa 1 utaona kuwa Mwugulu anadai analo bomu jingine ambalo akililipua CDM itasambaratika. Bila shaka hili ndilo aliloomba aombwe kabla hajalilipua. Kulingana na gazeti hilo anawatumia Juliana Shonza na Mtela Mwampamba. Kwa hiyo sherehe ya kufutiwa baadhi ya mashataka bwana Lwakatare isiwe kubwa sana but with reservations.:humble:
 
Tehe tehe tehe tehe mpaka kesho asubuhi....Acha matumizi mabaya ya kichwa wewe....Hata Yesu alishtakiwa acha Rwakatare.....Hakuna aibu hapo aibu ni kwa waliomstaki kwa mashtaka ya uongo na ambayo hayapo!


Hata Mandela pia alishtakiwa...
 
Aibu kubwa kwa serikali ya CCM na ni ufisadi wa pesa za watanzania. JK fukuza kazi wote walioshiriki utoto huu
 
Kwa hiyo kushtakiwa kwa kosa la kumlisha mtu sumu ni kosa dogo????? Hivi machadema hamnazo ee???
 
Ni aibu ya mwaka kwa Zitto Kabwe.Anajutia kuvujisha barua maana hakujua kama ingeishia hivi sasa waliotaka ajiuzulu walikua na Hoja.Zitto jiuzulu kwa kitendo chako cha kutoa shutuma kwa ofisi ya katibu mkuu wa chama chako upishe uchunguzi huru

Nadhani kamanda Zitto alikuwa na haraka ya kutaka Lwakatare asimamishwe wakati hajawa well informed, alikuwa bado yuko kambini JKT.

Bila shaka atakuwa amejifunza kitu kupitia hukumu hii ya mahakama kuu na akumbuke kwamba viongozi wenzake hawakushinikiza ajiuzulu ama awajibishwe wakati alipotuhumiwa kupokea rushwa katika kamati ya kudumu ya bunge ya hesabu za mashirika ya umma POAC.

Kama alifanya hivyo kwa kusukumwa au shinikizo la watu fulani ama yeye mwenyewe basi awe makini mara nyingine kujiingiza katika mambo yenye utata kama hili.
 
Last edited by a moderator:
Kwani ni CCM au ni Mwigulu? Ukisoma gazeti la Dira ya Mtanzania la tarehe 6-12 Mei 2013 ukurasa kwa 1 utaona kuwa Mwugulu anadai analo bomu jingine ambalo akililipua CDM itasambaratika. Bila shaka hili ndilo aliloomba aombwe kabla hajalilipua. Kulingana na gazeti hilo anawatumia Juliana Shonza na Mtela Mwampamba. Kwa hiyo sherehe ya kufutiwa baadhi ya mashataka bwana Lwakatare isiwe kubwa sana but with reservations.:humble:

hakuna Dhambi mbaya kama UWOGA. Muacheni alipue hayo mengine tumejiandaa kupambana ndani na Nje.
 
Back
Top Bottom