Confederate Spy
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 426
- 145
lakini hivi zitto kweli aliiamini ile video mpaka aseme lwakatare ajiuzuru? No, labda kama alikuwa na plan B.
Hili la Lwakatare ndilo lililomuumbua na unafiki wake.Zitto jiuzulu uchunguzwe
lakini hivi zitto kweli aliiamini ile video mpaka aseme lwakatare ajiuzuru? No, labda kama alikuwa na plan B.
Omwana Lwakatare nganda lopango na batekisa?..:smokin::smokin::smokin::smokin:
Sio kosa dogo kama lina ushahidi!.Kwa hiyo kushtakiwa kwa kosa la kumlisha mtu sumu ni kosa dogo????? Hivi machadema hamnazo ee???
leo nipo radh kupata ban endapo tu nitaona gamba anaongea utumbo kweny h thread
Mwingulu hapangi mambo ya kitoto, anapanga mambo ya kijinga.
Hili la Lwakatare ndilo lililomuumbua na unafiki wake.Zitto jiuzulu uchunguzwe
Tukapate KINANA moja Moto Moja Baridi!.ola nogambota?
Ni aibu kwa kiongozi mwandamizi wa chama kushtakiwa kwa kutaka kumpa mtu sumu
Kwa hiyo kushtakiwa kwa kosa la kumlisha mtu sumu ni kosa dogo????? Hivi machadema hamnazo ee???
Una akili a kushikiwa ww. Lwakatare anabaki kuwa mchafu na chama chakeSio kosa dogo kama lina ushahidi!.
Ni heri wangembambikia hilo kosa kamanda Ben Saanane maana tayari wana vibaraka wa kutoa ushahidi wao wa Uhongo, sio mkanda feki wa Lwakatare!.
CC: Mtela Mwampamba Juliana Shonza
Kwa kiongozi mwanamizi kama lwaka ni aibu na fedheha kukutwa na kosa la kutaka kulisha mtu sumu...ni doa kubwa sana kwa chama chake